Mwanume unayajua haya?

Mwanume unayajua haya?

Bushrah

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
413
Reaction score
791
Mke ametoka katika ubavu wa mme, hakutoka kwenye unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa.
Wala hakutoka katika kichwa ili mwanaume ajisifu eti yeye ana akili sana bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe.

Ubavu wa kushoto uliokaribu na moyo ili
Apendwe
Aheshimiwe na
Athaminiwe,
Lakini kwa kuwa ubavu umepinda, mke nae amepinda.

Asinyooshwe kwa nguvu atavunjika bali anyooshwe taratibu nae atanyooka.

Hayo tu katika asubuhi ya leo, muwe na siku njema pia amani ya Mungu iwe nanyi.
 
et kwakuwa ubavu umepinda nayeye kapibda so anyooshwe taratibu! Labda, ila upindifu mwingine ni catastrophic ujue...
 
ya kweli kabisa uyasemayo,hope unayatumia pia katika maisha yako ya kila siku ya kihalisi.
 
wamepinda!!!!!!!! wapendweje hali ya kuwa wamepinda????!!!!! umeonyesha umuhimu wa kunyooshwa halafu unaweka masharti eti pole pole!!!!!!!!

ametokea ubavuni karibu na moyo (mwanamke) yeye anajidai katokea kwenye moyo kabisaaaaaaaaaaa (ndipo mateso yanapoanzia)
ni sheeeeeder!!!!!!!!

ubavu (tunaambiwa) ulitolewa kwa mwanaume akiwa usingizini maajabu ya ajabu ni kuwa wanawake hata leo wanaamini kuwa bado wanaume wamelala na hawaonyeshi dalili za kuamka!!!!!
 
Inauma eeh?
wamepinda!!!!!!!! wapendweje hali ya kuwa wamepinda????!!!!! umeonyesha umuhimu wa kunyooshwa halafu unaweka masharti eti pole pole!!!!!!!!

ni sheeeeeder.
 
Maneno yako mazuri ila unayapeleka kwa sikio la kufa...ni sheeder
 
somo jema sana lakn kwavile hiki kizaz ni cha malaika wa shetan basi kinaweza kikaona na kisigundue , kinaweza kusikia na kisielewe. Heri ww ujuaye hayo kwamaana ndoa yako itadumu.
 
*mke ametoka katika ubavu wa mme,hakutoka kwenye unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa.
*wala hakutoka katika kichwa ili mwanaume ajisifu eti yy ana akili sana bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe.Ubavu wa kushoto uliokaribu na moyo ili
~apendwe
~aheshimiwe na
~athaminiwe,
lkn kwa kua ubavu umepinda,mke nae amepinda.Asinyooshwe kwa nguvu atavunjika bali anyooshwe taratibu nae atanyooka.

Hayo tu katika asubuhi ya leo,muwe na siku njema pia amani ya Mungu iwe nanyi.

Thanks for the theoretical side of love... HAYA MANENO YA KWENYE VITABU, MASHAIRI, KANGA NA KWENYE MAGARI HAYAPO REALISTIC KAMA UNAVYODHANI
 
somo jema sana lakn kwavile hiki kizaz ni cha malaika wa shetan basi kinaweza kikaona na kisigundue , kinaweza kusikia na kisielewe. Heri ww ujuaye hayo kwamaana ndoa yako itadumu.

Ha ha Malaika wa shetani.. Bila shaka watakuwa weusi tu..
^^
 
Bushrah
MashaAllah, Lesson ya kumnyanyua mwanamke awe na hadhi kama ilivyo... "Laqad karamna baniaAdam"
Dignity kwanza kabla ya kitu !!
 
Last edited by a moderator:
mimi penda sana wewe mai waifu wangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom