Mwanjelwa, Ndugai, Sugu tulieni

Mwanjelwa, Ndugai, Sugu tulieni

Wewe ni Hasy Ngouma wa klaudz aka mbeba mkoba wa Twolia Acksn!
Amekulipa uje hapa kutuletea shombo za kikada!
Nani asojua kuwa unanyemelea Jimbo huko upareni kupitia mgongo wa Twolia?
Nani asojua kuwa kazi ulopewa ni kuhakikisha unamtangaza boss wako kila sehemu?
Haya umemaliza mpelekee asome na comments ili ajue kabisa hali halisi ilivyo.
 
Kwamba “nyota na mvuto” wa Tulia unang’aa sio Mbeya tu bali Nchini kote? Hizi sasa ndoto za alinacha
 
Mimi nitamchagua Dkt Tulia kuwa Mbunge Wangu Wa Mbeya
 
Kiongozi nimesimuliwa majuzi nikashangaa sana. Yote niliyosimuliwa yanashabihiana na uliyoandika. Kwanza ni kweli Ndugai anahusika, pili Mwanjelwa anaona hana chake.

Mojawapo la kosa kubwa alilolifanya Tulia ni kwenda Mbeya Mjini akimtambulisha Mwaselela. Watu wakawa hawajui kama Tulia atagombea Tukuyu au Mbeya, na yamkini anataka amsaidie Mwaselela kugombea jimbo la Mbeya jiji. Tukuyu itakuwa changamoto sana kwa Tulia kupata ubunge. Lakini pia Tulia akiwa Mbeya mjini atatoa uwakilishi mzuri.

Sasa kumeingizwa ukabila. Wasafwa wote wameamua kumsapoti Mwaselela. Mwaselela ni msafwa lakini wana asili ya Unyakyusani. Pia Mwaselela anapewa sapoti na wasafwa wenzake kama Benson Mpesya, Advocate Shitambala na wengine wengi. Hata yule MC maarufu kwenye mikutano ya kisiasa ndugu Mwakipesile yuko upande wa Mwaselela.

Mimi nawashauri wana Mbeya, wachague mtu ambaye ni influential. Haya mambo ya kuchagua mbunge kwa sababu ya kabila na kukomoana yanawaumiza wenyewe. Kwa sasa mtu influential kwao upande wa CCM ni Tulia Ackson. Hao wakina Mwaselela they are not political material. Watapoteza muda tu.

Ila pia ningekuwa Mwaselela ningetulia kwanza. Ataharibu future yake ya biashara kwa mikwaruzano ya kisiasa. Kwa sasa siasa inalipa kwa watu wachache sana.
 
Back
Top Bottom