Mwanjelwa, Ndugai, Sugu tulieni

Mwanjelwa, Ndugai, Sugu tulieni

Hata hivyo nyota na mvuto wake unang’aa sio tu Mbeya bali kote Nchini. Karibu majimbo yote ya Mbeya yanamhitaji awe mwakilishi wao! Awali ilielezwa angegombea Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, kisha tukasikia anaenda jimbo la Rungwe baadae ikawa Busokelo kisha tukasikia tetesi anahitajika Kyela lakin saivi mwangwi wote ni Mbeya mjini!
Da! umejitathimini wakati unaandika kweli??
 
Nilichokiona hapa ni namna wananchi wa mbeya, wapiga kura, wanavyodharauliwa. Na hii inawakilisha dharau kwa wapiga kura watanzania wote.

Yaani hao unasema wametengeneza utatu mtakatifu na huyo binti kizee mwenzao ni kama wamekaa mkao kama wa kikao cha kishenzi kabisa cha Berlin kwa lengo la kutimiza tamaa zao bila kujali maslahi ya wana mbeya.

Yaani wewe ndugu mchambuzi, bila kujali matatizo yote waliyo nayo wanambea yanayohitaji maamuzi ya kiuongozi, umewafanya wana mbeya kuwa ni watu duni kabisa hata kukaa wakimfikiria huyo binti kizee muda wote.
 
MAMBO YA CCM UNAMHUSISHAJE SUGU? NAOMBA M'BONDANE VIZURI HUKO NDANI MSIRUSHIE WASIOHUSIKA VUMBI LA MTIFUANO WENU KAMA KUNA NDOA AMA MICHEPUKO MSIMHUSISHE SUGU HATA KIDOGO TUNAJUA UMEMWINGIZA SUGU KWENYE UGOMVI HUU ILI AONEKANE HANA NGUVU DADA UMEJIDANGANYA MTAJI WA SUGU NI WATU AMBAO NDIO SISI
Nyinyi miaka 15 mtaruhusiwa na nani kupiga kura!
 
Huyu Mleta uzi ni mmoja ya pŕoject za Tulia hapo ameshakula posho yake tayaŕi
 
Tulia ataishia kuwa mbunge CCM tu ubunge wa Mbeya ataendelea kuusikia redioni.
 
Tulia ataishia kuwa mbunge CCM tu ubunge wa Mbeya ataendelea kuusikia redioni.
Ni kweli, nilimuona kwenye ziara ya Mheshimiwa mkoani Mbeya. kiujulm;la Tulia ameenda shule ya kutosha ila mamuona kama hana uwezo wa kuongoza jamii. Katika ziara hiyo kila alipotapa muda wa kuongea alikuwa anatamka tunaomba hiki mara kile mara hiki mara tunaomba uongee hiki, kiujumla hajitambui katika nafasi yake aliyonanyo anaweza tumia vizuri na kuleta mabadiliko bila ya hata kupigia magoti muhimili mwingine
 
Uaneni huko wanaharamu nyie:

Simpendi Tulia

Simpendi Ndugai

Simpendi Mwanjelwa

Simpendi Jiwe!

Siipendi CCM!

Fvck y'all.....

Go on,kill each other.....need a knife?Here it is..go ahead!
 
Mary Mwanjelwa kapata elimu yake St. Augustine University na PhD Open University.
Mbona unafanya character assassination na defamation.
Hata kama umeambiwa basi wewe uwe na akili ya kutafta ukweli.
 
Mkuu umesema majimbo yote mbeya yanamuhitaji.???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwao ,kwa wanyakyusa wenzake tu hawamtaki, sasa majimbo gani wanayomuhitaji hayo
?????????
 
Mary Mwanjelwa kapata elimu yake St. Augustine University na PhD Open University.
Mbona unafanya character assassination na defamation.
Hata kama umeambiwa basi wewe uwe na akili ya kutafta ukweli.
Kwa suala la elimu mwanjelwa kwa tulia arudi chekechea,ni mweupe mnoooo
Kuna kikao aliandaa nikahudhuria,mweh hata kujenga hoja hawezi
Anarukaruka ka bisi kwenye kikaango,binafsi siku ile niliona aibu sana kama mwanamke,manake alifanya wanaume wawe wananong'ona pale ukumbini kuwa kuwa mwanamke kunalipa.Yuko empty Sana kichwani ukweli lazima usemwe.
 
Hahaa girlzia, ni kweli ulichoongea, nlishawahi kusali nae kanisa moja pale Dom mwaka 2014 akawa anajinasibu kuwa lazima aje awe Mbunge.
Lakini ni kweli elimu yake inapwaya.
Lakini huyu jamaa kasema kaipata kwa Lwakatare kitu ambacho sio kweli.
 
Hahahahah labda kweli kaipata huko,manake si kwa uempty ule
 
Ni ujinga kuzuia watu kupanga au kutishia watu wasipange ili hali siasa ni pamoja na kuwa na marafiki na maadui ambao wote sio lazima wawe wa kudumu

SASA kwa akili zako unatishia kuleta mioango ya watu ili waogope au wewe ni nani haswa wa kuzuia watu kujadili na kupanga?

Kama ulitumwa, kamwambie alikutuma katiba na sharia za tz zinaruhusu watu kupanga na kukutana ili mradi tu hawavunji sharia ama basi sema kwa kukutanao kwao na kupanga kwao majimbo hayo wamevunja sharia ipi?

Asante
 
Back
Top Bottom