Mwangosi na KIVULI kinaishi.


swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
3,985
Likes
336
Points
180
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
3,985 336 180
ni takribani mwaka mmoja na miezi 3(2 sept.2013)mwandishi wa habari wa chaneli teni Daudi Mwangosi afsriki dunia akiwa ktk harakati za kupigania haki kupitia taaluma yake mikononi mwa polisi huko nyololo iringa.
ukisoma kitabu cha 'kivuli kinaishi'kinaelezea watu wengi waliokufs katika harakati za kupigania haki katika nchi iliyotawaliwa na mtawala alieitwa bibi kilembwe.
kivuli kimefananishwa na roho za wanamapinduzi ambazo pamoja na kufa ziliendelea kuishi mioyoni mwa watu na hatimae bibi kilembwe na utawala wake dhalimu vikaangushwa.
je,mwangosi anaweza kuwa kivuli kinachoishi?je,akina mwangosi wapo?
je,mawazo ya haki ya mwangosi yanaishi?
je,akina bibi kilembwe wapo?
 

Forum statistics

Threads 1,252,234
Members 482,048
Posts 29,801,315