Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 770
- 733
Imeandikwa " usihukumu"Damu ya watu kama hakutubu italilia mpaka kizazi cha nne
Only God can judge him. Yaani inawezekana ulifanya nae kaz kama wee ni age yake ama ulisikia wasifu wake huko kitengoni na inawezekana kuna effect flani imekupata/inaendelea kukupata kutoka na yale aliyoyafanya ila kumbuka hayo yote ni nature ya kazi aliyokua akifanya ama majukumu aliyopewa. So kwa upande wako/wengi/ wachache unaweza kuona alifanya kwa ubaya lakin pia wapo waliofurahia wengi/wachache aliyoyafanya pia..
Huu ni wangu mtazamo