Mwandosya naye kaanza kuwachokoza CHADEMA?

Mwandosya ndiye mwenye jukumu la kununua viongozi wa Cdm Mby.Alimalizana mambo na Shitambala,tarehe 1-4,kwenye ofisi ya madini iliyopo jirani na airport mbeya,TUTAFIKA NAYE
Mkuu unamsema Mark Mwandosya professa wa mambo yaumeme aliyegombana na Kikwete enzi hizo? Huyu aliyeliua shirika la simu Tanzania kwa rushwa ya kusomeshewa mwanae?
 
Kashfa ya kwanza hiyo. CCM hamna msafi mimi huwa nawashangaa wanaosema sijuhi fulani yu tofauti. Kama huko tofauti what are you doing with those that you have nothing in common!

Mkuu unamsema Mark Mwandosya professa wa mambo yaumeme aliyegombana na Kikwete enzi hizo? Huyu aliyeliua shirika la simu Tanzania kwa rushwa ya kusomeshewa mwanae?
 
profesa safari cuf to cdm. Ni kawaida ktk siasa na hakuna haja ya kutafuta mchawi.
 
Back
Top Bottom