Nchi ambayo raia wengi tu wanatetea upumbavu wa censorship ni vigumu kuendelea.Kwani tatizo lipo wapi? Mbona Mwana FA anahojiwa na Wanaripoti
Acheni Kutetea Upumbavu
Unaongea kama hakuna jambo linaloweza mfanya muandishi wa habar asichukue habar;yapo mengi tu yanayoweza mfanya asitende hivyo.. Mbona mwana fa alihojiwa tukasikia... Ina maana huyu mwandishi yeye wameona wamwonee bila sababu wala kosa? Yawezekana kuna utaratibu umewekwa ili kuwahoji wagonjwa wa corona. Kama hakuufuata unategemea nn?Utaratibu gani?
Unaweza kuuweka hapa au unakisia tu?
Unaelewa kwamba wananchi kupata habari sahihi zinazohusu mambo yao na kwa wakati ni haki ya kikatiba?
Duh!..🙄🙄🙄Usishangae kusikia ISABELLA sasa rasmi viti maalum ccm
Isabela zilikuwa sarakasi tu , sasa unapomfuatilia maana yake unataka kufukua mamboMwandishi wa habari wa kituo cha Azam TV Arusha..Ramadhan Mvungi akiwa katika kazi zake za kufuatilia hali ya mgonjwa wa Corona Isabela, ameshikiliwa na polisi na kuchukua simu yake ya Mkononi.
Bado sababu za kushikiliwa kwake hazijafahamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
...Very stupid responseWacha abanwe aache kiherehere... Taarifa za corona zinatolewa na serikali pekee.
OK brave ila kulikuwa hakuna haja ya kuniqoute...Very stupid response
Wewe jamaa unataacha lini kukurupuka huyo mwandishi sisi tupo nae huku ndio tunajua.Ingekuwa kwa sim asingekamatwa! Yeye alikuwa anataka kumuhoji .
Ina maana yeye haogopi?
Piga kamba weka ndani kwa siku 14.
Wacha abanwe aache kiherehere... Taarifa za corona zinatolewa na serikali pekee.
Sasa hiyo katiba yke na korona ngoja akalale lupango kwa siku14 wakimpima corona kwanza!Utaratibu gani?
Unaweza kuuweka hapa au unakisia tu?
Unaelewa kwamba wananchi kupata habari sahihi zinazohusu mambo yao na kwa wakati ni haki ya kikatiba?
Sababu ndo hyo! Wameambiwa taarifa zitakuwa zinatolewa na Mh Ummy Mwalimu, Mh Majaliwa Kasim Majaliwa na dk Abas sasa anaenda kumfatilia ili akareport kitu juu ya huyo mgonjwa?
Na mmoja umemsahauSiku zote nimekuwa nikisema kuwa, adui mkubwa tulonae Nchi hii ni CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ndo hyo! Wameambiwa taarifa zitakuwa zinatolewa na Mh Ummy Mwalimu, Mh Majaliwa Kasim Majaliwa na dk Abas sasa anaenda kumfatilia ili akareport kitu juu ya huyo mgonjwa?
Hutakibm watu watumie haki zao za kikatiba?Sasa hiyo katiba yke na korona ngoja akalale lupango kwa siku14 wakimpima corona kwanza!
Maana hata kupeana mikono nihaki ya kikatiba!
Haki isiyo na mipaka ni uenda wazimu , nahii ya kila kitu haki ndio maana watu wanadinyana waume kwa waume!
Hao uliowataja ni waandishi wa habari?!Sababu ndo hyo! Wameambiwa taarifa zitakuwa zinatolewa na Mh Ummy Mwalimu, Mh Majaliwa Kasim Majaliwa na dk Abas sasa anaenda kumfatilia ili akareport kitu juu ya huyo mgonjwa?
Rudia kusoma nn kimeandikwa,au nikusaidie tu, yy hajatoa taarifa za mgonjwa, kwani isabela alitangazwa na nani kuwa Ana corona?Wacha abanwe aache kiherehere... Taarifa za corona zinatolewa na serikali pekee.
NdiyoHapa CCM imeingiaje? Polepole ndiye anamshikilia huyo mwandishi wa Habari?