Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,275
- 105,471
Nchi ambayo raia wengi tu wanatetea upumbavu wa censorship ni vigumu kuendelea.Kwani tatizo lipo wapi? Mbona Mwana FA anahojiwa na Wanaripoti
Acheni Kutetea Upumbavu
Kwa sababu viongozi daima wanaweza kuweka sheria za ajabu za kuzuia habari zisizowaoendeza kuanikwa, na viongozi wataiba, wataongoza vibaya.
Habari zitazimwa.
Na raia wengine wanaoumia kwa habari kuzimwa watashangilia ubabe huo wa serikali.
Hapo nchi kuendelea ni vigumu.
Ukiangalia nchi zilizoendelea zote zina uhuru wa habari.
In fact, uhuru wa habari ni kigezo cha maendeleo.
Nchi ikiwa haina uhuru wa habari, haiwezi kujiita imeendelea.
Sent from my typewriter using Tapatalk