Vifo vya ghafla.... Je, hatujiulizii kwanini waAfrika hufa vifo vya ghafla at early age?
Vifo vya ghafla.... Je, hatujiulizii kwanini waAfrika hufa vifo vya ghafla at early age?
Vifo vya ghafla.... Je, hatujiulizii kwanini waAfrika hufa vifo vya ghafla at early age?
Nimekupata Mkuu...Lakini ni lazima tutafakariii!! hususan hilojambo ni kwa watu mashuhuri (young celebs) it is our duty kulichambua... Nilivyoileta sii kashfa bali mtazamo wangu na wengi hapa... But its true life span ni under 45 !!Kwasababu life is short.
Mkuu You are RIGHT...hiyo ni moja Ok, pili, tatu na zaidi ni kutafakari na kubadilisha mtindo wa maisha!! yaani La Ajabu mbona wentezu wanapeta hadi 80~99 ......??Haya mavyakula ya kutengeneza mkuu, zamani tulikuwa tunakula kuku wa kienyeji anayechakura chakura jalalani kujipatia mlo wake ambaye inamchukua hadi miaka mitatu afae kuwa kutoweo,leo week mbili kuku tayari kuliwa na kanenepeana hadi anasinzia, tutaachaje kufa!
Mkuu You are RIGHT...hiyo ni moja Ok, pili, tatu na zaidi ni kutafakari na kubadilisha mtindo wa maisha!! yaani La Ajabu mbona wentezu wanapeta hadi 80~99 ......??
Mazoea au kuiga !!Kuna huu mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani ambapo naskia hata huu ugonjwa pendwa ulitengenezwa purposely (who knows?) Wenzetu hawa hawa wanakuja kwetu kwa kisinggizio cha uwekezaji,wanachukua ardhi yetu wanawekeza kwenye ufugaji wa hawa kuku wa wiki moja of which wao hawali kuku hao...
Najua kwa sasa ni ngumu kufuata mifumo ya asili kama kula vyakula vya asili vitokanavyo na mimea(isiyokuzwa kwa madawa) na bidhaa zitokanazo na wanyama ambazo hazijasindikwa viwandani na kuongezewa viini lishe na lehemu...
Kwanini usijiulize ni kwanini span ya watu wanaoishi mijini ni ndogo kuliko wa kijijini wakati wengi wanadhani maisha ya kijijini ni magumu na duni kulinganisha na ya mjini?
Mwandishi wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo.
Alikuwa na miaka 41 alipopata mauti yake.Komla Dumor ameelezewa kuwa miongoni mwa waandishi shupavu barani Afrika.
Rais wa Ghana John Dramani Mahama amemtaja marehemu kama zawadi ya Ghana ulimwenguni na kuongezea kuwa Ghana imempoteza mmoja wa wajumbe wake.
Komla hivi karibuni alikuwa anaongoza kipindi cha Runinga kinachozungumzia maswala ya Afrika baada ya kufanya kazi katika radio mmoja nchini Ghana na vilevile radio ya BBC.
Muhariri wa habari za ulimwengu Andrew Whitehead amemtaja kuwa mwadishi shupavu aliyekuwa na uhusiano mzuri na wasikilizaji.
Vifo vya ghafla.... Je, hatujiulizii kwanini waAfrika hufa vifo vya ghafla at early age?