Mwandishi noma

Ahahaha aaapana hyo imechakachuliwaaa.....tulifanyie uchunguz hii
 
ngoja nitafute mawani yangu sijui nimeiacha wapi. wee ashura nitafutie mawani yangu huko.....
 
Hapo si mwandishi tu, hapo hamna mhariri wala mpigachapa.
 
Mwingine ilikuwa ni slip of a tongue,sas huyu mwandishi ni slip of a pen ama???
 
Aisee noma, hili gazeti gani hili? Lifungiwe mara moja.
 
Kutibiwa,mwandishi nadhani labda alikuwa anafanya ukarabati wa neno jipya Kutiwa.
 
Reactions: awp
Kutiwa bure lol...hamna maeditor basi?
 
Khaaaa yaani haiwezekani wagonjwa wangu watiwe bure bila hata kuwapa sayona na vipsi kuku vya kwa edonkule namanga
 
naona wametishaaa hahahaah!
 
Tukisema kiwango cha elimu kwisha kazi yake siku hizi wanakataa, au ndo ile watu wanaingia makazini wakiwa wameshajitoa 'lock' na viroba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…