First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
ah...labda lipo mtandaoni...
huwa analileta huku.. la mtandaoni litakuwa sio lake asee..
braza mambo vipi?
jumapili naomba unisindikize naenda kuoa.
kiwatengu nimekaa weekend nzima tupate hata gazeti la udaku lakini hatujaona kitu.. au ndo kuishiwa habari?
CC Khantwe mama mkwe heshima yako, janeth1 shem nakumiss romantic eyes humalizagi tu shule? naona kuna dalili za kukusaliti... upweke unanitesa..
kumbe nyie huwa ji ndugu?
mvumilivu hula mbivu jamani shule inakaribia kuisha
ulikuwa hujui mkuu?
asee nimevumilia hadi bhasi.. si unamjua tena mamako alivyo msumbufu.. kila siku anataka gari mpya..
kumbe nyie huwa ji ndugu?
huwa analileta huku.. la mtandaoni litakuwa sio lake asee..
Kukandiana huku sasa
kiwatengu kafulia habari Shem labda angekuwa urankiwatengu nimekaa weekend nzima tupate hata gazeti la udaku lakini hatujaona kitu.. au ndo kuishiwa habari?
CC Khantwe mama mkwe heshima yako, janeth1 shem nakumiss romantic eyes humalizagi tu shule? naona kuna dalili za kukusaliti... upweke unanitesa..
Kake miss you....