Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Katika gazatei la Mwanahalisi la leo, mwandishi Mbasha Asenga amewananga vilivyo wabunge wa CCM akina Anne Kilango, Ole Sendeka, James Lembeli na wengine ambao walijiweka mstari wa mbele katika hoja ya dhidi ya ufisadi hoja ambayo waliipora kutoka Chadema.
Sasa hivi wabunge hao wameufyata na hoja hiyo ya ufisadi imebakia tena kwa Chadema.
Sehemu ya makala ya mwandishi huyo ni kama ifuatavyo:
Itakumbukwa kwamba mwaka 2007 hoja ya vita dhidi ya ufisadi ilipoibuliwa na Chadema, wabunge wa CCM, akiwamo Anne Kilango wa Same Mashariki, walisimama na kuendesha kampeni ya kupora hoja hiyo.
Walijitangaza kuwa ni makamanda wa kupambana dhidi ya ufisadi. Akizungumza bungeni kwa hisia kali, Kilango alisema hawezi kuwaachia wapinzani, akimtaja Zitto Kabwe (Chadema) kujitwalia umaarufu kwa kuendesha vita dhidi ya ufisadi.
.walisimama kidete kupambana ukiwa ni mkakati wa kupiku Chadema ambao walionekana dhahiri kuungwa mkono na umma juu ya harakati zao za kupambana dhidi ya ufisadi. Umma kwa bahati mbaya ukaamini kundi hili la wanasiasa wa CCM, wakaaminika kuwa wanapambana kwa dhati ya mioyo yao. Lakini walikuja kushangazwa kundi hilo lilivyogeuka na kukimbia kabisa hoja walizokuwa wanasimamia.
My Take: Kwa ujumla makala ya mwandishi huyo ni 'must read.' Ni hakika akina Anne Kilango hawasikiki tena. Namkumbuka pale mama huyo alipotamka bungeni kwamba atahakikisha hela za EPA zinarudishwa kwa viroba, na siyo kwa karatasi. Jee 'viroba' hivyo aliviona na kujihakikishia? CCM bwana!
Katika gazatei la Mwanahalisi la leo, mwandishi Mbasha Asenga amewananga vilivyo wabunge wa CCM akina Anne Kilango, Ole Sendeka, James Lembeli na wengine ambao walijiweka mstari wa mbele katika hoja ya dhidi ya ufisadi – hoja ambayo waliipora kutoka Chadema.
Sasa hivi wabunge hao wameufyata na hoja hiyo ya ufisadi imebakia tena kwa Chadema.
Sehemu ya makala ya mwandishi huyo ni kama ifuatavyo:
"…Itakumbukwa kwamba mwaka 2007 hoja ya vita dhidi ya ufisadi ilipoibuliwa na Chadema, wabunge wa CCM, akiwamo Anne Kilango wa Same Mashariki, walisimama na kuendesha kampeni ya kupora hoja hiyo.
"Walijitangaza kuwa ni makamanda wa kupambana dhidi ya ufisadi. Akizungumza bungeni kwa hisia kali, Kilango alisema hawezi kuwaachia wapinzani, akimtaja Zitto Kabwe (Chadema) kujitwalia umaarufu kwa kuendesha vita dhidi ya ufisadi.
"….walisimama kidete kupambana ukiwa ni mkakati wa kupiku Chadema ambao walionekana dhahiri kuungwa mkono na umma juu ya harakati zao za kupambana dhidi ya ufisadi. Umma kwa bahati mbaya ukaamini kundi hili la wanasiasa wa CCM, wakaaminika kuwa wanapambana kwa dhati ya mioyo yao. Lakini walikuja kushangazwa kundi hilo lilivyogeuka na kukimbia kabisa hoja walizokuwa wanasimamia."
My Take: Kwa ujumla makala ya mwandishi huyo ni 'must read.' Ni hakika akina Anne Kilango hawasikiki tena. Namkumbuka pale mama huyo alipotamka bungeni kwamba atahakikisha hela za EPA zinarudishwa kwa viroba, na siyo kwa karatasi. Jee 'viroba' hivyo aliviona na kujihakikishia? CCM bwana!
Sitta kapewa uwaziri,mwakyembe kapewa uwaziri sasa unategemea nini?
Hili ni kundi la mitume kumi na mbili linaloongozwa na Mh.Samuel Sitta na privilage za cheo cha Nape na mission yao inajulikana ni kutwaa nafasi ya kumsimamisha mgombea wa mtandao wao kuwania urais. Ipo wazi waeanza kufurahiana na mafisadi kwa sababu historia zao na mwenendo wao unafanana na mafisadi na wamedhihirisha kuwa CCM bila mafisadi haiwezekani kwani bado wanashirikiana na mafisadi mfano mzuri ni Rostam ambaye ni fisadi na bado anatumiwa na ananyenyekewa na chama kupiga kampeni Igunga like Rostam alionewa. Na ile sera mama ya kujivua gamba imepotezewa kabisa. Tazama hapa:View attachment 37635Katika gazatei la Mwanahalisi la leo, mwandishi Mbasha Asenga amewananga vilivyo wabunge wa CCM akina Anne Kilango, Ole Sendeka, James Lembeli na wengine ambao walijiweka mstari wa mbele katika hoja ya dhidi ya ufisadi hoja ambayo waliipora kutoka Chadema.