Mwandishi atekwa na polisi Kigoma

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,097
114,663
Ni huko Kigoma,mwandishi ametekwa na polisi wa mkoani Kigoma na kuwekwa ndani kwa kuandika habari zinazochafua wakubwa wa mkoa na nchi kwa ujumla.

Magazeti ya leo yameripoti hii habari,kwa bahati mbaya sikuweza kulipata jina la mwandishi na chombo anachoandikia
 
Magufuli alisema "msiogope kufanya maamuzi mkikosea tutarekebisha huko mbele"
 
Tanzania Uhuru wa habari bado sana. Tatizo wanataka habari zinazosifia viongozi na tuendako wa serikali.
 
Nchi hii wanafiki wengi sana hasa viongozi, sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona hawakosei.
 
Ni huko Kigoma,mwandishi ametekwa na polisi wa mkoani Kigoma na kuwekwa ndani kwa kuandika habari zinazochafua wakubwa wa mkoa na nchi kwa ujumla.

Magazeti ya leo yameripoti hii habari,kwa bahati mbaya sikuweza kulipata jina la mwandishi na chombo anachoandikia
Walitahadharishwa mapema kuwa atakayeleta fyoko fyoko atakiona.
 
ni habari mbaya sana sasa huku kuna ripoti ya wezi wa mali za umma huku tena wakitoa taharfa wanakamatwa kwa hiyo hao wapo nyuma ya wezi wa mali za umma..
 
Huu Uzi Unamapungufu Mengi Sana Halafu Umekaa Kichochezi.

HABARI.
1. Haina Chanzo.(Magazeti Ya Leo, Gazeti Gani?! Taja)

2. Haijaweka Wazi Nini Aliandika.

3. Ktk Chombo Kipi Cha Habari.

4. Lini Alandika.

5. Kukamatwa Na Polisi Sio Kutekwa.

JAMBO LA KUSHANGAZA.
Tunajadili Habari Ambayo Hata Aloileta Hana Data Za Uhakika Nje Ya Hapo Kaileta Kichochezi.

Tunajiita Wasomi, Usomi Wetu Uko Wapi Wadau Ikiwa Tunaamini Tu. Hii Inathibitisha Kwmb Wengi Humu Tunapenda Habari Za Uchochezi Bila Hata Kuzipima.

KUHUSU UHURU.
Kama Nchi Inaendeshwa Kisheria Hakuna Uhuru Usio Na Mipaka. Uandishi Mwingine Unakiuka Katiba Mnayoizungumzia Ndio Maana Zipo Baadhi Ya Nyuzi Humu Adimin Huzifuta, Hii Inaleta Maana Njema Kwmb Uhuru Upo Lakn Mipaka Nayo Ipo.

MTOA UZI NENDA.. . . . URUDI TENA ILI UJE NA DATA KAMILI.
 
Back
Top Bottom