Iringa waandishi wa habari waliandamana kupinga vitendo vya kuchaguliwa habari za kuandika.tena wanahabari wale wanapaswa kuonwa kwa jicho la pekee , wanajitambua wamejikomboa kifikra ,moto huo ungeambaa kote nchini kupinga vitendo vya kijinga kama hivyo ,sasa RPC wa Mwanza anapomfukuza mwandishi habari kwa kuwa alimhoji mswali magumu ambayo alishindwa kuyajibu kwa kuwa wamezoea kutumwa kufanya ujinga na mafisadi kwa maslahi yao kuwapiga wabunge wasio na hatia kisa wanataka li ccm jinga liendelee kutawala, muda wao umefika siku zinahesabika watakimbia nchi kama ben bella wa uganda .
Nawashangaa waandishi wengine walibaki kufanya nini wangeungna na mwenzao, walikuwa na uwezo wa kuandika habari ya kuprovoko ili huyo rpc na IGP wake wafafanue kwani hawajui njia yangine ya kusaka ukweli? huyo rpc kubwa jinga kweli anataka waandike anayotaka anawachagulia habari.waandishi kuweni na msimamo acheni kujikomba kwa hao vikaragosi tumieni kalamu zenu, kamera zenu na akilizenu kuweni tayari kufa kwa ajili ya taifa lenu.
Mwandishi huyo nampa hongera sana pia na wapa hongera waandishi wa Iringa walifungua njia ya ujasiri kujiamini kukataa upuunzi wa viongozi wa waliowekwa na chama cha mashetani ccm.