Maelfu ya watoto na wanawake wasio na hatia wanauliwa na mayahudi karibu kila siku hampigi kelele..lakini huyo mmoja dunia yote kelele
Mkuu vita ya Wapalestina na Wayahudi ni maji marefu wala sisi hatuiwezi
Hatari kitu gani? Mbona wao wanaua sana tu!
Nalog off
wacha wachinjane waarabu na wamarekani,kuna siku akili zao zikikaa sawa wataacha kuchinjana
hata hayo pia ni maji marefu sisi hatuyawezi
Ni vita ya nani rafiki?Siku utakapochinjwa mwenyewe ndipo akili zitakujia kwamba hii si vita ya Arabs na Americans peke yao. Ni afadhali ukaa kimya kama huelewi.
Lakini mbona tumeona Wapalestina walishangilia "ushindi" wa vita dhidi ya "mayahudi" .Na yale makombola ya ki Palestina yaliwaua "askari" wa "mayahudi" tu na sio wanawake na watoto .Yaani yale makombola yalikuwa yanachagua kati ya raia na askari tofauti ya mayahudi Mayahudi walikuwa wnaua wanawake,watoto na wazeeMaelfu ya watoto na wanawake wasio na hatia wanauliwa na mayahudi karibu kila siku hampigi kelele..lakini huyo mmoja dunia yote kelele
Mimi sijui mnayofundishwa kwenye misikiti, lakini jambo moja wazi ni kuwa kuna watu wanachinja wenzao wakidai kufanya hivyo kwa ajili ya uislamu na lakushangaza wengi wenu mnawashabikia ikiwa ishara hizo ndizo sera zenu. Kile huniuma ni eti tunakula na kuishi na nyie kila siku, yaani nikimuona muislamu afu nikumbuke yale wenzenu wanafanya, jameni nahisi kutapika. Mungu awasaidie sana.
Alipouawa Msyria nani alisema sawa?Hawa ISIS ni mbwa pori. Lakini itabidi turudi nyuma, nani aliwaachia hawa mbwa pori walipoanza kushambulia Syria? Si waliitwa wapigania uhuru?
Usidaganyike, isingewezekana kwa maelfu ya waovu hawa kuvuka mipaka bila ya kusaidiwa na mataifa hayo hayo yanayotoa machozi ya mamba. Huu ndio mwisho wa ubaguzi wa rangi. Anapouawa Msyria sawa, sasa mkuki kwa binadamu.
Obama kichwa kinamuwanga masikini.wamewafunza,wakawapa silaha sasa wanawageuka.na hao wanaouawa ni mashushushu wao,maana mwandishi wa kawaida kwenda nchi kama syria ni kujitakia balaa.
Nasema ni maji marefu kwa sababu ni vita iliyoanza hata kabla ya Babu yako kuzaliwa.
Ebu hii kitu ni kweli mkuu? kuhusu moon god
Criticizing or denying Allah, the moon god of Islam is punishable by death.
Inawezekana akawa shushushu wao ila anatumia cover ya uandishi wa habari, na inawezekana huyo alikuwa anarusha habari na intelligence report, na jamaa baada ya kuasi dhidi ya wamarekani kuna probability kubwa walikuwa wanawajua kwamba ni ma spy, na kwa nini wawe embedded kwenye rebel army tena lililokuwa supported na americans and british? On top of that ni zile zile silaha walizokuwa wanapewa kumuondoa assad na wamarekani walikuwa wanajisifu kwamba wanawapa waasi ili wamuondoe assad,silaha nyingi ni made in america
Inawezekana akawa shushushu wao ila anatumia cover ya uandishi wa habari, na inawezekana huyo alikuwa anarusha habari na intelligence report, na jamaa baada ya kuasi dhidi ya wamarekani kuna probability kubwa walikuwa wanawajua kwamba ni ma spy, na kwa nini wawe embedded kwenye rebel army tena lililokuwa supported na americans and british? On top of that ni zile zile silaha walizokuwa wanapewa kumuondoa assad na wamarekani walikuwa wanajisifu kwamba wanawapa waasi ili wamuondoe assad,silaha nyingi ni made in america
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii this is too devilish! no one will touch my clitories! uwiiiiiiiiiiii thats my everything, i wish i had two of them, sooooo enjoyable! loooool! this pipo should vanish frm this world, tufyakwa! na wah ooooo!Ukitaka kujua hawa jamaa ni wanyama na hawana utu hata kidogo, tafadhali tembelea hii tovuti kwa ku-click hapa
Lakini pia wameweka na sharia zao kabisa - Sharia law:
View attachment 182507
Mwandishi aliyechinjwa na IS Steven Sotloff
Wapiganaji wa dola ya Kiislam IS wamesambaza picha za video katika mitandao kwa lengo la kuonyesha kuchinjwa kwa mwandishi wa habari raia Marekani Steven Sotloff ambaye ni mmoja wa mateka wanaoshikiliwa na wapiganaji hao.
Mwandishi huyo Sotloff, mwenye umri wa miaka 31 ambaye alitekwa na wapiganaji hao mwezi August mwaka jana.
Mwezi uliopita Sotloff alionekana mwishoni katika picha za video zilizoonyeshwa kuhusiana na kuchinjwa kwa mwandishi mwingine wa Marekani James Foley.
Wapiganaji hao wa katika picha hizo pia wameonekana wakimtishia kumuua mateka mwingine anayedhaniwa kuwa ni raia wa Uingereza.
Baada ya mauaji ya mwandishi wa awali Foley, mama mzazi wa mwandiashi wa Sotloff alitoa ombi maalumu kwa kiongozi wa wanajeshi hao Abu Bakr al-Baghdadi kutoa muua mtoto wake.
Msemaji wa Ikulu ya White House Josh Earnest amesema kuwa maofisa wa Marekani wanaendelea na uchunguzi wa ripoti hiyo.
Marekani hivi karibuni ilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya IS nchini Iraq.
Mwandishi wa masuala ya usalama wa BBC Frank Gardner amesema hatua hiyo ya wapiganaji wa IS ni kulipa kisasi kwa Marekani.
Chanzo:BBC
Mwandishi mwingine "achinjwa" - BBC Swahili - Habari
Tofauti hapa ni kwamba ISIS wanaua kwa kuchinja kama anavyochinjwa kuku kwa kuwa dini yao inawataka kufanya hivyo. Hivi watoto wadogo si watazoea kuona damu na hivyo kudhani kuchinja binadamu mwenzako ni jambo la kawaida?
Acha ndugu yangu binafsi nilipoiona nilijiuliza mara mbili mbili, hivi kweli hawa watu wana imani ya kawaida au kuna kitu cha ziada ndani yake? Haiwezekani ikawa ni dini ya amani wakati inashabikia uuaji kama huu wa kutisha namna hii. Natamani wafuasi wa imani hii waje waseme wenyewe kama haya ndio mafundisho sahihi au kuna kitu cha ziada!