Mwandambo, Nachoka mimi baba yenu: Kweli Kachoka

Mwandambo, Nachoka mimi baba yenu: Kweli Kachoka

Kuwa mjinga ni gharama sana... Yaani mtu anapongea Yale unayoyawafiki ni mtu nzuri na unampa kila sifa.. lakini akiongelea Yale ambayo wewe huyataki unampa kila sifa chafu.. na unaanza kumwita chawa. Na unafiki zaidi ni pale unapojonasibubya kuwa wewe ni muumini wa mtu kiwa na uhuru wa kujieleza na kutoka maoni yake bila ya kuwa na Kokomo na unajifanya Yuko tayari kitoa uhainwako kutetea Hilo.. lakini uapandr wa pili wewe au nyinyi AKA manyumbu ni wale mnaongoza kwa kutokuheshimu uhuru wa mtu..
Ila wanaoteka na kubambika kesi wanaheshimu uhuru wa kutoa maoni!
 
Kaka... Tusigombane kwa ajili ya mpuuzi anaekatibia kufa kwa kua hakuna muoaji kila mtu atakula kwa muda wake.. mi utaniachia tundu.
Ahahahahaha mkuu kama kukuachia basi takuachia badae sana aisee maana nimeanza mfatilia mke wa jamaa kitambo mno
 
Back
Top Bottom