..huyu muheshimiwa levy mwanawasa amekuwa na series ya afya mbaya tangu alipopata ajali mbaya ya gari hata kabla hajawa rais....amekuwa akipata stroke mara kadhaa....na kubwa aliipata miaka 6 iliyopita ambayo ilibidi alazwe london kwa muda ..hiyo stroke iliadhiri sana hata speech yake na alipatiwa SPEECH THERAPY.....
lolote litakalotokea ni MIPANGO YA MUNGU kwani .....ndiye anayemuweka hai hata sasa!