Mwanawake ukikataliwa ndio uweke uadui jamani?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,062
Mimi kuna siku nilikua zangu katika kibarua cha wiki mbili ndo hapo job sasa alitokea mwanamke akawa anakuja kuwasalimia majirani zake kila siku na mimi pia alikua ananisalimia, sasa katika kupiga jicho huku na huko ndio nikaona sehemu zetu zile pendwa zimetegwa kiasi kwamba ni mimi naziona peke yangu, Mapaja yake mashalah yalikua soft yametuna haswaa na sehemu nyingine alizopewa na maulana ila mimi sikua tayari kwa hilo tendo analolitengeneza.
Mimi nikaendelea kutenda kazi zangu kwa ustadi tena saivi nikiwa nimeweka umakini zaidi ili niweze kushinda kishawishi cha shetani,

Siku nyingine alikua analeta stori za hapa na pale mradi tuu urafiki utokee sasa mimi nikawa namjibu ndio hapana, sijui, labda hadi akajua sina mda nae.

Leo nikakutana nae nikamsalimia akiwa na rafiki yangu ila hakuonyesha kuipokea ile salamu vyema na nilijua tuu sababu sikumkubalia hitaji lake.

Ili kujirishisha zaidi nikafunga safari kwa huyo rafiki yangu kwa lengo la kumsalimia sasa huko ndio nikapata hii habari.

Rafiki: X mbona siku hizi umekua wa matawi ya juu hivi? unataka uniambie hupendi tena haya makitu?

Mimi: nikamjibu yapi?
Rafiki: akasema si hivi vikojoleo vyetu!
Mimi:nkacheka haahahaha kwa nini unasema hivo? mimi huwaga nakula mbona!
Rafiki: aah wapi acha zako x kama unakulaga usingeiacha ile (yan ya huyu mwanamke niliemtupilia mbali). X acha ubishoo hii kitu hainuniwi bana iko siku utaikosa.
Mimi:nkamwambia hapana sikujiskia tuu sababu siku izi ngoma ipo sana.
nkamuuliza kwani alikuambia nini huyo ndugu? ivi kumbe mnafahamiana?
Rafiki: ahahahaha tunafahamiana kitambo X, huyu alikua anapiga biashara chuga! katukana kishenzi kasema siku izi wanaume wana maringo.
Mimi: aah kwenda zake kule kule
Rafiki: shauri yako mwenzio kakasirika kinoma.

Maongezi yalikaua mengi wakuu ila ngoja niishie hapo.

Sasa ngoja niwaulize nyie wanawake, ivi msipopendwa ndo muweke kinyongo jamani? mbona hata sisi mnatubaniaga?
 
Labda wewe mwenyewe umekataliwa na unaleta uadui.

Wanaume kama nyie Mukikataliwa tu, basi unatangaza ya ujinga na uongo dunia mzima.
 
Back
Top Bottom