Sasa si umtumie msg Jamaa mwenyewe??? Halafu wakati mwengine nyinyi ndio mnapelekea tushindwe show... Mtu unafuatilia show as if unafuatilia Malipo ya bima ya NIC. Mara sijui usikojoe ndani, Mara fanya kwa makini, Mara unaniumiza, Mara nimechoka, Mara unanikomoa, Mara unachelewa kukojoa ulikua kwa mchepuko, Mara Hiyo Harufu umetoa kwa mwanamke gani, Mara umechelewa wapi, Mara pokea simu ya Malaya wako!!!! Unategemea kutakua Na show hapo? Hata ule tawi Zima la Mkuyati hupigi show Kali.