Mwanaume

Mwanaume

Mamba wa plastiki hiyo, si unajua bongo Movie.
 
Mosi, nadhani hapa inategemea na silaha alizotumia.
Pili, huu ni ujangili ambao kila siku tunaupinga.
 
Aaaah huyo mtoto wa mamba kama mjusi tu!
hahaaa heshima yako mkuu
Vijana wenu wamekuwa ndembendembe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kijana wa dsm hata kumgusa mamba huyo hawez utaskia uwiiii
 
Mosi, nadhani hapa inategemea na silaha alizotumia.
Pili, huu ni ujangili ambao kila siku tunaupinga.
Hujawahi kuuona mziki wa mamba nn..
Kuna siku nikiwa kijijin kwetu. Mamba alimkamata mtoto ikabidi wanaume waingie mtoni kumsaka wakimsaka na walimkamata walipomkamata wakamchinja na kula nyama yake... Hao ni wanaume angekuwa kijana wa dar hata kuua nyoka tu hawez kazi kujichubua na kufungia suluali matakoni
 
Nasikia wanaume wa dar mahindi ya kuchoma tu wanaweka pilipili ndimu nk. ndio aje aue mamba. Sio leo. Hao wanaume wa dar uwaambiage kucheza viduku vigodoro nk.
 
Wanaume wa dar huwez kuwatofautisha na wanawake ni waoga kama mbwa koko ila kwa mdomo wako vizuri
 
Wanaume wa dar huwez kuwatofautisha na wanawake ni waoga kama mbwa koko ila kwa mdomo wako vizuri
Mkuu wanawake wa mikoani wako ngangari kinoma hawafananishwi na hawa wapiga fix wa Dar
 
Back
Top Bottom