Mwanaume yupi anafaa?

Mwanaume yupi anafaa?

Hapo kuna plan A na B, ndo hapo inabidi uchague plan gani unahitaji.
 
Habari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020

Naombeni mawazo yenu hapa

Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.

Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.

Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.

Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?

Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Akishakuoa atakuhudumia tu. Hakuna mwanaume ambaye hawezi kuhudumia family yake hasa anapokuwa na mishe mishe mjini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na analala nao wote na kila mmoja anahisi yuko peke yake.
 
Na analala nao wote na kila mmoja anahisi yuko peke yake.

Mkuu, ndiyo wanawake zetu wa kibongo hao. Full umalaya!

Amewapanga wanaume wawili. Kila mmoja anapewa nyapu kwa ratiba yake.

Angekuwa ni mwanamke wa kutulia na man mmoja, wala asingeleta uzi huu.

Anayemgonga vizuri hampi pesa. Anayempa pesa (huduma) hamgongi vizuri. Bidada kapagawa aolewe na yupi.

Nothing but bittching!!

Bora nikaoe majuu. Bongo miyeyusho!

Mapenzi Ulaya. Bongo biashara.

-Kaveli-
 
awaache wote, atafute mwengine anaefit kote kuwili
 
Habari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020

Naombeni mawazo yenu hapa

Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.

Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.

Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.

Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?

Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamme wa kwanza yupo kama mimi
 
Eti hii imemtokea staff mwenzangu! si useme tu kua imekutokea wewe? unatufanya sisi kua tuna akili ndogo kama zako? Endelea tu kugongwa na wote,hakuna muoaji wala muolewaji hapo,wewe mwenyewe kitendo cha kuchanganya wanaume wawili kwa wakati mmoja kinakufanya uikosa sifa ya kua mke kwa wanaume wote hao wawili,Mungu awanusuru hao wanaume wasipotee njia na kutumbukia kukuoa wewe.
 
Rudia kusoma mwenye kujua mapenzi ana kazi na ana pesa ila mbahili, mwenye hapendwi hana kazi anaunga unga tu mtaani ila akipata ndo anamhudumia huyu mdada

Kwa hiyo ukifananisha vipato huyu mbahili ndo ana unafuu wa maisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu anaweza kujifunza mapenzi na kufanikiwa kumridhisha mwenziwe muhimu kuelezana, ila roho mbaya na ubahili hauna tiba wala kujifunza kuuepuka au kuacha.

Halafu hali za kimaisha( kipato kidogo au kikubwa) sometime huwa ni temporary as long as mtu bado anapambana na kama unaamini/anaamini katika mapambano yake.....

Changanya na zako

Alexander The Great
 
A good dick can ruin your life if you're not careful.[emoji19]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aolewe na anayempenda kwani akishamuoa ubahili utapungua kupitia kiapo cha ndoa. Kama ataweka tamaa ya mitoko na pesa aolewe na asiyekuwa na hisia naye ila lazima atachepuka tu!
 
Back
Top Bottom