Mwanaume wiki hufui boxer

Naonaga soo sana kufuliwa boxer, soksi na handkerchief.

Mke wangu hafui hivi vitu.
 
jichunguze looh utakuwa na shida sana.....afu ooh dem cmuelewi huyu mwanzo tulikuwa sawa lkn saiv dah...kaa tafakari ilo nalo laweza kuwa tatizo kaka.

Kufuafua ni shiiiiidaaah
 
Demu kaja gheto akawahi mwenyewe kuvulia kufuli lake ndani ya shuka nikashangaa sana!

Alipoenda chooni si nikaangalia kufuli lake daaah nilichokiona ni siri yangu!

Akija kwako akivulia ndani ya shuka hataki ww uone kuwa makino sana nae
 
Kuna jamaa alikuja kwangu na kuomba msaada wa hifadhi mambo yake sio mazuri.

Tatizo jamaa hafui nguo zake wala boxer akikaa hata sebuleni unatamani ukimbie hiyo halufu, ukiingia room kwake dak tano ushazimia.

Natamani angeuona huu uzi labda ungemfaa ila tatizo hajui hata kama kuna kitu duniani kinaitwa JF.

Asante mtoa mada najua utasaidia wengi
 
yan mkeo unamuonea noma kukufulia boxa???i guess inakuwa na mabao...thats why!!!

Hapana, mabao yatoke wapi wakati nampunguzia yeye? Ila naonaga sio poa kabisa, kwahyo wewe unafua ya mpenzi wako??
 
Hapana, mabao yatoke wapi wakati nampunguzia yeye? Ila naonaga sio poa kabisa, kwahyo wewe unafua ya mpenzi wako??

sa nisipofua mie atazifua nani? hiyo kazi ni yangu kufua boxa, sox, vitambaa na singlend zake haviguswi na mtu yeyote isipokuwa mimi tu.
 

asante kwa ushauri kwa waume lakini mie nadhani huu ushauri haunihusu kwa kuwa sivaagi chupi.
 
Ngastuka machale kundesa teh teh teh jiki hapo usisahau hahahaha
Naipeleka dry cleaner maana mimi mwenyewe imenishinda....si unajua ina zaidi ya mwaka....
ilikuwa nyekundu ikawa njano...mara ikageuka blue sasa inakimbilia kwenye weusi...ngoja niiwahi
si unajua boxer yenyewe ndio hiyo hiyo moja
 
Naipeleka dry cleaner maana mimi mwenyewe imenishinda....si unajua ina zaidi ya mwaka....
ilikuwa nyekundu ikawa njano...mara ikageuka blue sasa inakimbilia kwenye weusi...ngoja niiwahi
si unajua boxer yenyewe ndio hiyo hiyo moja

hahahahahaha lol kikuuuu...he vdole havijakatika?
 
Reactions: awp

miili yetu inadry cleaner ha ha ha proud 2b a real man
 
huu uzi umenichekesha sana, taru ulichokiongea ni kweli tupu, wanaume waliowengi si wasafi kuanzia boxer, singilendi za ndani, hengachifu, makwapa hawanyoi, na huko chini ndo shida tupu. jamani wanatoa harufu hadi kinyaa
 
Last edited by a moderator:

Ndio maana mie nikienda kununua boxer sipiti maduka ya mitaani naingia maduka ya jumla najikusanyia dozen 3 kaaaazi kweli kweli mwezi mzima bandika bandua kufua mpaka mwezi umalizeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…