Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio muwe wasafi sasa.
>Mwanamke kutokujua hekima ya mungu kwanini inakuwa hivyo inaonyesha siku hizi akuna wanawake !!!!!!! Kuna manungaiyembe .kama wewe ni mwanamke uliye nasifa ya kuwa mwanamke ukimkuta kijanawa kiume ni mchafu kiivyo ungemshukuru mungu sasa unajua kwanini hayo mapungufu aliyonayo mwanaume ya uchafu yanakuonyesha nafasi ya mwanamke kwake kwa kuwa mungu ameweka hiyo gepu ili wanawake muizibe sasa mwanaume akiwa yupo vizuri kwenye kila kitu wewe msichana nafasi yako na umuhimu wako kwake utapungua mwisho jitambueni wadada .ukiona mwanaume awezi kutandika kitanda tambua hiyo ni opportunity yaani fursa kwako kuonyesha umuhimu wako hapo kuna hekima ya mungu kaweka huo upungufu ili wewe msichana uheshimiwe na huyo kijana kwa kumweka smarty
 
Shemeji kwani ni mashindano? Au nyie kushauriwa mwiko, mkishauriw basi mbio kwenye papuchi!!!!
Tatizo sisi tukiongelea vibweka vyenu mnalalamika sana kwamba tunawaonea, kwo kuleni bati tu
 
Mwanamke wa hovyo hovyo hukutana na mwanamme wa hovyo hovyo pia!
Pole sana maana inaonekana huyu jamaa yako hata maids wa kumsaidia kazi kwake hawezi walipa!
Jamaa yako kacharara,hana hela
 
utazeeka bila ndoa,..huk idad ya uliotembea nao ikiwa umeisahau...
 
vip we naniliu yako ina haruf nzur???mana wanaongea weng ni water melon
 
Ebu badilikeni .

Mbadilishe huyo mwanaume wako, siyo wanaume wote tupo hivyoo.Mwanamke gani wewe umeingia kwa mwanaume umekuta pachafu badala ya kumsaidia usafi una kuja kutu diss wanaume wote humu!!
 
Lakini ni kweli jamani... Inabidi wanaume tubadilike.. Kutofua na kutosafisha mazingira yetu yalotuzunguka ni jambo baya... Then mtoa mada hata kama ye ndo katoa hii mada sio lazima imuhusu yeye moja kwa moja pengine kaamua tu kuwasemea wengine..
 
Hebu mkanyoe kwanza hzo kwapa af mrud
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wape hapo wamezoea[emoji108]
 

************

Duh kweli umeamua kufunguka..... Haya wamekusikia wenye vivulata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…