Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Tuwatongoze kwa shda, hela tuwahonge, bado hamridhiki mnakuja kututanga huku! Tutasitisha huduma. MTUACHE!
 
Utakuwa umeachika nn? Mbona unatushambulia Xana!!!
 
Mmmh! Kazi kweli kweli
 
we mwanamke wewe nan kakwambia mwanaume anakua msafi tu.
mwanaume kama hajafunzwa usafi na mama yake basi atafunzwa na mke wake,kama sio mwanamke wake basi atafunzwa na rafiki zake,kama sio rafiki zake basi huyo mwanaume anatabia za kishoga.
wanaume hatuna sababu ya kutufanya tuwe wasafi ndio mana hata huku mikoan mwanaume inaweza ikapita siku hajaoga swaaafiii tu
mwanamke lazima uwe msafi kutokana na mazingira ya mwili wako ukiwa msafi mwilini na chumba au nyumba yako lazima itakua safi
 
Hili mbona kama limewagusa sana!! Hivi kama wewe ni msafi si basi acha wachafu wapate ujumbe wao!!

Hizo nyuzi zake zingine zinahusiana nini na suala la kuwashauri muwe wasafi?
 
Hili mbona kama limewagusa sana!! Hivi kama wewe ni msafi si basi acha wachafu wapate ujumbe wao!!

Hizo nyuzi zake zingine zinahusiana nini na suala la kuwashauri muwe wasafi?
Ndiyo maana nimeacha wachafu washughulike naye kwenye hiyo mada ya uchafu mimi nikajikita kwingine.
 
😀😀 haya sasa wanaume mnaovunda mnapakwa matope huku njooni mjitetee
 
Tuwatongoze kwa shda, hela tuwahonge, bado hamridhiki mnakuja kututanga huku! Tutasitisha huduma. MTUACHE!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio muwe wasafi sasa.
 
Mwanamke kutokujua hekima ya mungu kwanini inakuwa hivyo inaonyesha siku hizi akuna wanawake !!!!!!! Kuna manungaiyembe .kama wewe ni mwanamke uliye nasifa ya kuwa mwanamke ukimkuta kijanawa kiume ni mchafu kiivyo ungemshukuru mungu sasa unajua kwanini hayo mapungufu aliyonayo mwanaume ya uchafu yanakuonyesha nafasi ya mwanamke kwake kwa kuwa mungu ameweka hiyo gepu ili wanawake muizibe sasa mwanaume akiwa yupo vizuri kwenye kila kitu wewe msichana nafasi yako na umuhimu wako kwake utapungua mwisho jitambueni wadada .ukiona mwanaume awezi kutandika kitanda tambua hiyo ni opportunity yaani fursa kwako kuonyesha umuhimu wako hapo kuna hekima ya mungu kaweka huo upungufu ili wewe msichana uheshimiwe na huyo kijana kwa kumweka smaty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…