Mapovu mkadekue vyumbani mwenu na mkafue boxar zenuHuyu mdau ni shida.
Akaanza na moyo mpweke.
Akaja na mume mwema.
Akaja na ana kibamia anataka ndoa.
Amekuja na wanaume wanavunda, na kwa maelezo ya humu inaonesha yupo na jamaa anayetaka ndoa huku anazurura kwenye vyumba na majokofu ya watu huku akizama hadi ikulu.
Huo ni umalaya.
Halafu, hivi hua hamjui kama kila unachoandika ni faster sana watu wakiamua kutrace ili kujua pattern ya mambo na tabia yako ilivyo?
Povu linaitajika mkadekiTukianza kuziongelea papuchi hapatakalika hapa, kwahiyo HATUSHINIKIZWI
Mkuu nahisi iliyoleta uzi ni id yako nyingine haiwezekani ushindwe kutumia akili na kuelewa kua mimi nimejibu kulingana na nyuzi zake za nyuma mpaka hii ya leo, wala sijasema kama alichoongelea hakifai au kinafaa.Mapovu mkadekue vyumbani mwenu na mkafue boxar zenu

HahaaWe nae kila siku wanaume tu, si ubadili mada.
Haya mwanaume kuvundaHuo ndio unaumme.....wanaumme ambao hawaoni uvivu kufua,kupika ,kudeki,kuosha vyombo..kutandika. ..mara Nyingi huwa wanachelewa! Kuoa.....maana huwa hawaoni umuhimu wa mwanamke....na usawa huu papuchi zilivyojaa
Wanaume mnavuuuUmeingia kwa kasi mara ana kibamia anataka kukuoa...mara wanaume zako wanavunda.
Halafu mtu mwenyewe kajiunga jumatano tu tena iliyopita yaani hii ya wiki hii hii.....Huyu mdau ni shida.
Akaanza na moyo mpweke.
Akaja na mume mwema.
Akaja na ana kibamia anataka ndoa.
Amekuja na wanaume wanavunda, na kwa maelezo ya humu inaonesha yupo na jamaa anayetaka ndoa huku anazurura kwenye vyumba na majokofu ya watu huku akizama hadi ikulu.
Huo ni umalaya.
Halafu, hivi hua hamjui kama kila unachoandika ni faster sana watu wakiamua kutrace ili kujua pattern ya mambo na tabia yako ilivyo?
Unaongea na mm au cmHatupangiwi,hatushikizwi wala hatuambiwi lakufanya so usituzoee