Mwanaume wa ukweli ni yupi!!

Kokutona kajibia yote. siwapendi wale nadhani wamelelewa na mama wa kambo wao udume ni kutembeza dushelele lol
 
Kokutona kajibia yote. siwapendi wale nadhani wamelelewa na mama wa kambo wao udume ni kutembeza dushelele lol
imaney wale wanaoifanya ya serikali ya kijiji siyo?
 
Last edited by a moderator:

haha yule anaye gegeda wanawake pale ambapo inawezekana...wanawake wameumbwa for us men so wagegede
 
kwangu mimi ni yule mwenye hofu ya Mungu, mana atafanya yale ambayo ni sahihi machoni pa Mungu na wanadamu
 
ukiongeza na mawe aka chapaa, mkwanja,,,, hapo unanipata mimi dume la simba.
 
Inaonekana swali ni gumu sana!!.

Swali sio gumu, ila umelimit upewe maana ya mwanaume katika mawazo unayoyataka wewe kitu ambacho si rahisi.....

We unavomchukulia mwanaume si sawa na mie!!!

We unaezaona mwanaume wa kweli ni muwajibikaji kwangu isiwe hivo....
 

Mwanamume wa kweli ni yule aliyezaliwa dume, rijali na anasimama katika nafasi yake kama kichwa cha familia.
 
Anaejua wajibu wake kama baba,mume(or bf/mchumba),a son,brother,uncle etc na akaweza ku atleast balance these responsibilities.
 
Naona wengi mnatoka nje ya mada!!. Haya bwana tiririkeni mnavyoona.
 
Ni yule anayemheshimu Mungu.Yuko radhi asimkosee Mungu maana anatunza amri zake ikiwemo na ile ya USIZINI.
 
Woote wamechemsha hahaaa "Maji hayapandi mlima" swali lilikuwa very clear ni vigezo ni kufanya ngono!Mie nadhani hiyo miezi 2/3 uliyosema ni dalili za "uhanithi" Dume kwelikweli ni yule anaefanya Ngono kwa kila nafasi anayopata. Namaanisha kama hana kazi siku hiyo na mwanamke yuko tayari hata mara 24 kwa masaa 24!Huyo ndo kweeeeeli kidume!Yaani ni hachoki bali ni shughuli tu ndo zinamkwamisha kutokufanya Ngono upo hapo?
 
Husninyo kwanza heshima yako. Hiyo tu inatosha!, Furaha hizo ni zipi. Kuna watu wanasema ili uwe mwanaume wa ukweli basi lazima utumie viungo vyako vizuri hata kama ni nje ya ndoa. Yaani lazima ziwe zinachaji haraka.

heshma yako pia mkuu! Mie mwanaume wa kweli kwa kigezo changu ni hicho tu vingnevyo natupa kule!
 
Mwanaume ni maumbile tu. Uume ukiwepo pale maeneo, kwisha habari wewe ni mwanaume, uwe unafanya kazi au haufanyi kazi. uwe ni kichaa au mzima. uwe unabinuliwa au la... wewe ni mwanaume. Hayo mengine ni mbwembwe tu. So mwanaume ni mtu yeyote mwenye jinsia ya kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…