MASELE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 794
- 484
njoo maeneo ya kwetu kuna mwanamke anaupara kama wa professor Salungi.Hakuna kitu kinachoitwa usawa kati ya mwanaume na mwanamke. Siku nitakayomwona mwanamke ana upara ndo nitaamini kuna usawa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums