Mwanaume wa maana ni yupi?

Mwanaume wa maana ni yupi?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Leo nimeshuhudia ugomvi wa familia wakimlaumu binti aachane na mume anaye ishi naye kwakua si mwanaume wa maana.Nimepata taabu kidogo tafsiri ya mwanaume wa maana,? Hivi ni mwenye sifa zipi?
 
1. Analipa kodi ya kitandani.

2. Analipa kodi ya mezani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa huo usawa unaotafutwa ni upi kama inasubiriwa kila kitu kifanywe na mwanaume
 
Hakuna kitu kinachoitwa usawa kati ya mwanaume na mwanamke. Siku nitakayomwona mwanamke ana upara ndo nitaamini kuna usawa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Leo nimeshuhudia ugomvi wa familia wakimlaumu binti aachane na mume anaye ishi naye kwakua si mwanaume wa maana.Nimepata taabu kidogo tafsiri ya mwanaume wa maana,? Hivi ni mwenye sifa zipi?

Nafikiri ni yule anayejitambua, anajua wajibu wake, anajishughukisha na pia anajali na kutunza familia yake. Lakini hapo kwenye maelezo yako hapo juu hayatoshi sana kujua kuwa familia hiyo ilikuwa na maana gani kutumia neno hilo maana familia zingine hata kama huna hela lakini mambo mengine uko safi still utaitwa huna maana!!!
 
mke hana shida na mumewe lakini familia ndio inayo shinikiza mtoto wao arudi kwaka mume wake siyo wa maana.
 
Leo nimeshuhudia ugomvi wa familia wakimlaumu binti aachane na mume anaye ishi naye kwakua si mwanaume wa maana.Nimepata taabu kidogo tafsiri ya mwanaume wa maana,? Hivi ni mwenye sifa zipi?

hapo SI unit ni fedha.
 
Mie kwaupande wangu nahisi as long as anakuheshimu anatimiza majukumu yake kama mume inatosha sana kwangu mie,kwani pesa nimatokeo mumeanaweza kua na pesa lakini mda na wewe hana anabadili wasichana kama nguo,raha huna
lakini akiwa na mapenzi ya thati kwako vyengine vyote mwenyezi mungu anawafungulia...
 
Mwanaume wa ukweli anayeipa preorit familia anayrkuwa na uthubutu kwa mambo magumu nikiwa na maana anayekabiliana na changa moto!Asiye yumbishwa anayekuwa na msimamo na anayesiamia maamzi yake,Anayeweza kuwa kiongozi wa wengine pale inapotakiwa kufanya hivyo.
 
Kwa kigezo cha ndugu ni mwanaume mwenye pesa na sio kuwa nazo tu bali awe anazimwaga kwa wingi kwa hao ndugu hata kama mkewe anatembea uchi au anatolewa meno kila siku kwa mkong'oto watampa moyo aendelee kubana tu na jamaa
 
Leo nimeshuhudia ugomvi wa familia wakimlaumu binti aachane na mume anaye ishi naye kwakua si mwanaume wa maana.Nimepata taabu kidogo tafsiri ya mwanaume wa maana,? Hivi ni mwenye sifa zipi?

binti anaishi na mwanamume? ndoa? ngono? uzinzi?
 
If you want a 'wifey' material, be a 'husband' material.

Nadhani umenipata hapo :A S thumbs_up:
 
Kwa nini usingewauliza huko huko...???
kwa namna ulivyoeleza habari yako "neno wa maana" itakua ngumu kuifafanua.
 
Kwa wenye timamu mwanaume wa maana ni yule mwenye kitimiza wajibu na wake kwa familia ikiwa pamoja na kuiheshimu ndoa n.k.

Ila tunapoongelea wanawake washinzi mwanaume wa maana ni mwenye hela.
 
Back
Top Bottom