Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,897
- 7,525
Mwanaume wa kweli, amka nenda kapambane kwa ajili ya familia yako, wale, wanywe na wavae, then hawa ambao uanaume umekuwa mgumu kwao achana nao wakae kwenye pages za udaku na wanaharakati kutukana asubuhi mpaka jioni.
Jukumu la maisha yako ni jukumu lako..sio la mange, maria, hilda ama Larry madowo, msigwa na wengineo..
Jukumu la maisha yako ni jukumu lako..sio la mange, maria, hilda ama Larry madowo, msigwa na wengineo..