Mwanaume wa kuoa

wewe ni mwanaume na siyo mwanamke kama ulivyobandika andiko lako.
 
Masharti magumu vyupi viko vingi mtaani bila mizinga.punguza masharti,unauza?
 
Yaani wewe ndo unaoa? Au mimi sijaelewa kichwa cha habari.
 
Mlio join leo mnahitaji wanaume. Wewe wataka mume mwenzio kule kasema anahitaji mwanaume kwa usiku mmoja tu.. May be ni mtu mmoja au ndo midume at work

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kiswahili chako tu unaonekana wewe ni ubwabwa
 

Yani wewe ni kuku kabisaaaaa!!unafikiri mwenye umri huo na aliye na uwezo mkubwa kifedha kama utakavyo wewe bado yupo single?tena hapa JF ambapo kuna full MITONGOZO????Nenda kanisani kwako kajaribu.
 
Huyu ni kidume kama yule qa asubuhi aliyekuwa anataka mwanaume wa kulala naye
 
Ningeku pm ila kwa ufikiri wako na ulivyo utatuhatibia ukoo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…