Mwanaume wa kazi

Mwanaume wa kazi

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Bh5JMaZIUAAfqsR.jpg:large
 
Niwe naweka kwenye friji ata wiki simalizi
 
Hawa sasa ndio wanatakiwa.........
 
huyo ndio gentleman sio kulakula vichips vyenu na bager
 
Hish anamaliza chote icho?

Ukipata mume wa hivo lazma mgongo uume kwa kupiga majungu makubwa makubwa lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Bh5JMaZIUAAfqsR.jpg:large
Huyu kama ni mpangaji kwenye nyumba yangu natafuta kisingizio cha kumfukuza.Ni majanga kwenye kile chumba kidogo cha uani.
 
Huyu kama ni mpangaji kwenye nyumba yangu natafuta kisingizio cha kumfukuza.Ni majanga kwenye kile chumba kidogo cha uani.
Mkuu una maana chumba kidogo cha uani huyu mkuu atakijaza kwa siku moja?
 
Back
Top Bottom