si ndio maana ya kuuliza kwamba ni kawaida? kwa mtu kutaka kuulizia chakula kila siku huku hajatoa matumizi, mkinijibu sawa au sio sawa

kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!

Afu mjukuu wangu mteule afrodenzi,
Tuna nini mimi na wewe?
Haikupasi kumtendea babu yako namna hii.
Nimekumisi mpaka najionea aibu kumoyo
kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!
ndo mapenzi hayo mdogo wangukila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!
Kama anakupa hela, na kukumiminia protini mpaka unaridhika siamini kama ungeanzisha hii sredi
Sasa hebu funguka vizuri tukusaidie. Wanawake wenzako wanaotafuta hiyo bahati we unaona kero?
Watakucheka watu!