Mwanaume Wa Dar

Mwanaume Wa dar akimkwepa Mende, hivi nyie wanaume Wa dar mnawezaje kujiita vidume wakati hali enyewe ni hii.
Ati jidume zima linaogopa kukanyaga sakafu kisa Mende.
View attachment 892792
Mhm....
Nimeangalia ishara ya kama hapo ni Dar sijaona!
Nimeangalia walau nimuone mende wa kuchora sijaona....
pengine natakiwa kuvua mawani meusi
 
Mhm....
Nimeangalia ishara ya kama hapo ni Dar sijaona!
Nimeangalia walau nimuone mende wa kuchora sijaona....
pengine natakiwa kuvua mawani meusi
Hio ni aerio photography mkuu huwezi kumuona Mende
 
...ni walaini alafu wanapenda maneno malaini kuliko...... nao wanadanga nowooo days.....kudamshi...my god ! ebooo! wajirekebishee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…