Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
- Thread starter
- #21
Hayo ndio majibu wanayostahili.Teh teh teh
Unajua kuwajibu km mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hayo ndio majibu wanayostahili.Teh teh teh
Unajua kuwajibu km mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Comment ya kibwege na majibu ya kuudhiHayo ndio majibu wanayostahili.
Tit for tat.Comment ya kibwege na majibu ya kuudhi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
bwana wee kunguru muoga. hufucha bawa lake. maana wanaweza kuwa kimyaa halafu aliyetuma akawa ndiye wa kwnza na mfano - hapo sasa.Acha uoga wewe, TCRA ndio nini kwani?
Na wewe unataka useme hujaribiwi auakienda TCRA umeisha kwa kuweka picha ya mtu hapa, au ni ya kwako mwenyewe?