Mwanaume usipokuwa na hela fuga hata ndevu. Say no to 'kidevu flat'

😂 😂 😂
Kabla sijasema chochote, naomba kwanza ibariki siku yangu na zile ndevu matata PM please.!!
uchebe 33333.jpg


Kama hii?
 
Wavulana wasio na ndevu kama Piere Liquid watajisikia vibaya.
Ruhusa kuweka za bandia.. mbona wanawake wengine wanazaliwa bila tak0 ila hawakubali wanaweka mpaka ya bandia. So kwa mwanaume sio ishu sana
 
Hii post inakuwa tusi Kwa sisi ambao kazi zetu haziruhusu mtu kufuga ma ndevu
 
Back
Top Bottom