Naamini watachukua tahadhariKupitia ukurasa huu, wanaweza kujifunza.
We niletee Kiko, hakuna mbaya litatokea🤭Kama wewe unavyoogopa kukutana na kizazaa na mimi hivyo hivyo babu
Bibi asije kuniharibu uso na uso ndio reception
Sawa ila tuzungumzie sasaSamsoni na manguvu yake yote, yakaishia kwa delilah; hawa viumbe ishi nao kwa akili
Wapo wanaume wanaolala kwenye vyumba/nyumba za wapenzi wao, inabidi wabadilike.Sawa ila tuzungumzie sasa
Kama ni mfanyakazi mwenzangu sitakiwi kumtembelea?Unaingiaje kwenye nyumba ya mwanamke wakati hata anayelipa Kodi humjui
Ukiwa unayejitambua, huwezi kuthubutu kukubali kwenda huko
Vipi baby wake huyo mwanamke ataaminije ninyi ni co-workersKama ni mfanyakazi mwenzangu sitakiwi kumtembelea?
DaaaahVipi baby wake huyo mwanamke ataaminije ninyi ni co-workers
Vyema kujiepusha na mazingira hatarishi Mkuu
Bora kwenye hiyo case mumewe alikwepo, lakini anaweza kukosa imani na wewe iwapo mtakuwa na ukaribuDaaaah
Tena umenikumbusha kisa cha kweli, wakati fulani niliwahi kumtembelea bosi wangu wa kike ila nilipomtembelea jamaa yake alikuwa yupo nyumbani
Kwa hiyo hakukuwa na mazingira ya kutiliana mashaka.
Changamoto ilifika tukiwa mtaani, kwa muda mwingi baada ya kazi ilionekana nipo karibu sana na huyo mwanamke , baadhi ya wananchi wakaanza kuhisi huenda atakuwa mke wangu. Kumbe sijawahi hata kumtongoza japo niliwahi kumtamani.
Kwa kweliBora kwenye hiyo case mumewe alikwepo, lakini anaweza kukosa imani na wewe iwapo mtakuwa na ukaribu
Wanawake ukiwa na ukaribu nao na ukajua code zao, sio rahisi kukataa ukitupa ndoano
Tujitahidi kujiepusha na matukio ya hivyo, siku hizi hawachelewi kukuitia mwizi wakuueKwa kweli
Hali ni mbaya sana inaonekana.Tujitahidi kujiepusha na matukio ya hivyo, siku hizi hawachelewi kukuitia mwizi wakuue
Hii kitu ni kweli ipo. Vijana wanapagawa na mfumo.. Wanadhani kuna mapenzi ya kweli kwa mwanamke.. Lakini kila siku hua nasema ukiona mwanamke anatoa kwako jua kawekeza, iposiku atavidai.. Na jsipo lipa kwa pesa au vitu vya thaman basi ujue utalipa kwa utu wako(aibh, dharau, maneno, masimangu, msongo wa mawazo, ugomvi na familia ETC), kwakifupi utalipaaAKuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko.
Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego.
Baada ya siku kadhaa kupita, na wewe kumuamini, atakualika uende nyumbani kwake.
Na ukishafika huko kwake na kuingia ndani, atafunga mlango na kutoa funguo, kisha watajitokeza wanaume wa kazi.
Kinachofuata hapo ni kukuharibu na kukurekodi, na wakishamaliza haja yao, wanaweza kukupa nauli au kiasi fulani cha pesa na kuondoka.
Kinachofuata kwako ni msongo wa mawazo, na kuendeleza walicho kuanzishia.
Mwanaume, kuwa makini.
Sikutaki piaKwako siji, kama unanitaka njoo kwangu.
Karibu kwanguAsante kwa kutusanua mapema..
Asante... baby¡Karibu kwangu
AkuuuuuWe niletee Kiko, hakuna mbaya litatokea🤭
Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko.
Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego.
Baada ya siku kadhaa kupita, na wewe kumuamini, atakualika uende nyumbani kwake.
Na ukishafika huko kwake na kuingia ndani, atafunga mlango na kutoa funguo, kisha watajitokeza wanaume wa kazi.
Kinachofuata hapo ni kukuharibu na kukurekodi, na wakishamaliza haja yao, wanaweza kukupa nauli au kiasi fulani cha pesa na kuondoka.
Kinachofuata kwako ni msongo wa mawazo, na kuendeleza walicho kuanzishia.
Mwanaume, kuwa makini.
Huyo mwanamke wananufaika na nini?Kwakulawitiwa kiboya
Itategemea lengo kuu ni niniHuyo mwanamke wananufaika na nini?
Msitutenge babu zenu mjukuu 🤭Akuuuuu
😅😅 tunawatenga na hamna kitu mtafanyaMsitutenge babu zenu mjukuu 🤭