Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,023
Reaction score
61,917
Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko.

Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego.

Baada ya siku kadhaa kupita, na wewe kumuamini, atakualika uende nyumbani kwake.

Na ukishafika huko kwake na kuingia ndani, atafunga mlango na kutoa funguo, kisha watajitokeza wanaume wa kazi.

Kinachofuata hapo ni kukuharibu na kukurekodi, na wakishamaliza haja yao, wanaweza kukupa nauli au kiasi fulani cha pesa na kuondoka.

Kinachofuata kwako ni msongo wa mawazo, na kuendeleza walicho kuanzishia.

Mwanaume, kuwa makini.​
 
Pole mkuu nakushaur usiendelee hiyo ilikua ajar kazn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…