Mwanaume unavaaje dhahabu na mavazi ya hariri?

Mwanaume unavaaje dhahabu na mavazi ya hariri?

[emoji2][emoji2]
28795943_2470485509858097_176548599251861504_o.jpg
 
Kwa mujibu wa uislamu ni marufuku kwa sababu hayo ni mapambo ya wanawake..
Na hata katika mazingira tuliyonayo ukiona mwanaume anapenda urembo urembo na madhahabu huyo mwisho wake ni ushoga...
...
alafu hata tabia ya kupokelea au kutoa kitu au salam kwa mkono wa kushoto nayo ni ya kike kike, lakn siku za hivi karibuni naona eti na wanaume nao wanaleta mikogo hiyo, design km mashoga vile.
 
Back
Top Bottom