Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,365
Asante ndugu ila kidogo sana naomba ufafanuzi wa hiyo namba moja hapo juu....
Nadhani labda niwe sijakufahamu vizuri lakini mbona mambo ya kupandwa kichwani Sio sawa, inakuwaje mpaka anakupanda? Kama mkeo unampenda mnaelewana mnapanga pamoja kugombana kupo ila kupigana hakupo, wala kujifanya wewe uko juu hata Kama unataka Chalii Kwa mkeo unataka akufate hapo kosa, jua kwamba ukideka wenzio wanadekeza, ukinyeta wenzio wananyeteza, wala kumfanya akuhitaji ki mawazo hujajenga bado...
Ahha japo kiupande mwingine n.kweli haya uyasemayo ila suala la mume kupandwa kichwani inategemea sana. Mume n kichwa cha nyumba iweje mke aje akupande ulikua umelala au umepoteza fahamu??? Mume ndo mwenye saut ya mwisho kwa nin mkeo ndo awe na mamlaka juu ya nyumba yenu????? halaf hata akukere vip mume hanyimwi tendo la ndoa..