Habarini wadau,
Ramadhan Kareem to all Muslim in here...!
Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi
Huu ni utafiti rasmi kwa dunia nzima na references zipo, sijawahi kusikia Mwanamke anasema anapenda mwanaume mfupi hasa mwenye kitambi
Kwanza kumpata lazima uwe na pesa. Na yeye atakukubali kwa pesa zako ila sio kwa sura yako, umbo, na caring nyingine yoyote.
- Mwanamke Mrefu ukipiga naye picha utakosa hata confidence na hataipenda hiyo picha....kifupi picha itakuwa mbayaa
- Mwanamke Mrefu kukuzidi hata kutembea nae au kwenda nae popote hata kama mmependeza vipi utakosa confidence nayeye hatafurahia hilo
- Mwanamke mrefu kukutambulisha kwa wenzie au kwa ndugu zake halafu kama imekaa ukaambiwa usimame kuna watakaoanza kukucheka, watasema ana hela lakini......blah bhah kibao
- Mwanamke Mrefu kukuzidi hata mkilala kitandani na wakati wa sex na kuchange positions...hahaha sisemi zaidi
- Mwanamke mrefu kukuzidi siku mkizinguana atapata sababu ya kukusema vibaya au kukutania katika jamii
- Mwanamke mrefu kukuzidi siku mkigombana ataweza kukupiga, hasa makonzi
NB: Kama wewe mfupi usimuoe mwanamke mrefu kukuzidi hasa kuanzia 8 Inches na kuendelea mpaka futi kadhaa, muoe mfupi ili uenjoy mapenzi na kuwa huru katika maamuzi na mitoko mbalimbali
Shauri yenu Andunje wenzangu muonekane Watoto mbele ya wake zenu.
====
Pia soma: Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu
Tupe futi zao, usikute mke ft5 ongeza na skuna.....mme ft3

Kabisa....ni sawa na mwanaume huna hela alafu ukatafute mwanamke mrembo utaambulia matusi tuuMwanaume ukiwa mfupi jitahidi sana uwe mpole na utafute Mwanamke Mwenye kimo kama chako. Usidanganyike na kufanya cross breeding haiwork
Hii ndio point sasa. Sie. Akina mzabzab tunakataliwa mbususu hapa jf na kina mawardat mtoto tako skonsi kisa hatuna helaThat's fact.
Mwanamke Mzuri kuwa nae kwasasa ni sharti uwe na pesa, usipokuwa nazo atakuacha amegwe na wenye nazo
Wewe ni mwanaume ukimpenda mrefu tambaa naye tu...kidume ni kidume tuKuna mahala nimetaja suala la utiaji mimba hapo?
Hata mbilikimo na Mangoose wanatia mimba.
Kwa hiyo sie andunje ndio hatuoaswi kukojolea pazuri😭😭😭😭Mtoa mada una hoja usikilizwe, mie kiukweli mwanaume naemzidi kimo simtaki sitamuheshimu, na wala hizo couple hazipendezi, home zipo couple kibao za hivyo ila sizielewagi