Mwanaume umemleta mwanao kwa mama wa kambo, kuwa nae karibu! kina mama yamepita samehe atakukumbuka

Umesema vizuri mkuu.Mungu akubariki pia, Samson atakukumbuka na kukuheshimu daima.
 
Ila tuache masiara wanawake wana roho mbaya eti.
Yan ukiowa mwanamke mwenye mtoto kile ambacho utafanyia mtoto wako lazima na wake utamfanyia ila siyo kinyume na wao.
Wenyewe kwa wenyewe wanachukiana
 
Unachokisema ni sahihi kabisa, Kuna sijui ni msemo au nahau inasema "usichokipenda wewe kutendewa basi usimtendee mwenzio" haya maneno huwa nayaelewa sana sana
Ewaaaaaa. Huu nadhani ni msemo Swahiba.

Na wanaume walio wengi wangeujua nadhani mwanamke asingekuwa mtu wa kuangushiwa lawama chungu tele wakati hata ungekuwa upande wa pili huyo jamaa sidhani kama angeweza.
 
Wote hapa tutamtupia lawama huyo mke (ingawa anachokifanya si haki), ila tunasahau kuangalia chanzo cha tatizo.

Ni wanaume wangapi humu wapo radhi kusamehe wake zao waliochepuka (though mnajitumumua hamuwezi ila mnasamehe sana tu teh), let alone kulea mtoto wa mkeo aliyempata akiwa mchepukoni? Kama mna roho nzuri hivyo, nini kinawashinda kuwalea hao watoto? Mambo yenu ya kujijaza ujinga eti ooh mwanaume lazima achepuke, sijui wanawake hata ukichepuka wanasamehe tu, ndiyo leo hii yanafanya watoto wenu wanateseka mbele ya macho yenu. Mnarahisisha sana mambo

Kumkuta mwanaume na mtoto na kuletewa mtoto alompata ndoani ni vitu viwili tofauti. Nikikukuta una mtoto nina option ya kusettle au kuondoka, lakini ukiniletea mtoto ndoani ninaweza kutamani kabisa kuondoka, ila nikawa sipo radhi kupoteza what I have invested in my marriage, so I'm forced to live with the kid.
Na wanaume wengi hamjuagi kuapologise mkimess up, sanasana ataletwa tu mtoto unaambiwa huyu pia ni mwanangu, unataka haya hautaki utajiju. Put yourself into your wife's shoes afu imagine unamuumiza kiasi gani with no remorse.

Shida inakuja kuna wanawake wapo imara kihisia, na wengine hawapo imara. Kama mkeo hayupo imara kihisia, usithubutu kumletea watoto wako. Majeraha yake, uchungu na hasira zake zote zitaishiaga kwa mwanao. Na ubaya zaidi wanaume wachache mnashughulika na malezi ya watoto wenu, so vinavyoendelea na mwanao hata huvijui, unaendelea na koloni jipya kuwakilisha nature. Sielewagi hiki kitu ada anatoa baba, ila mtoto wa nje anasoma kayumba, wa ndani wanasoma private, kwamba baba haoni tofauti au ni vipi? .

Uchungu wote wa mke unaishia kwa mtoto wako, jiulize mtoto ana kosa gani. Sasa tuache ubinafsi, tusijiwazie tu starehe zetu, tuwazage na outcomes. Wewe usivyo radhi kulea mtoto wa mkeo, hata yeye pia hayupo radhi kulea mwanao. Starehe zetu tunazoziendekeza victim mkuu ni mtoto atakayepatikana. Na usaliti haufutiki kirahisi, unaachaga doa kubwa sana. Huyo mama hayupo imara kihisia, siku akikubali kusamehe kabisa, mtoto ataishi kwa amani sana. Wewe kama mume unaplay part gani kumake sure mkeo ame-heal majeraha yake, na je are you available kwa mwanao ujue anaishije hapo, au ndo upo tu around? Endeleeni kujiendekeza
 
Wanaonaga vitu rahisi tu, unachepuka, unaleta mtoto, mke analea; wewe unaendelea kuwakilisha nature, ukipata mwingine unaleta tu tena, kisa watoto ni baraka. Eeeeeeeeh
 
Swahiba hili suala huwa linakuwa gumu sana kwa mwanamke kufungua moyo, mwanamke anakubaliana na hali sababu hataki kuacha familia yake lakini kuna wengine wanashindwa kukubaliana na ilo tukio na kuvunja ndoa. Binafsi kulea mtoto wa kambo siwezi labda awe mtoto wa ndugu yangu(kaka, dada) ila sio wa mke niliemkuta na mtoto
Kwa kweli wengi huwa hawasamehi kiukweli, ni vile tu hataki familia yake isambaratike
 
Ni hivi wababa wengi wa kibongo hawanaga muda na familia muda mwingi yuko bar na marafiki anachojali kaacha chakula tu, mengine wala hajali
 
Wote hapa tutamtupia lawama huyo mke (ingawa anachokifanya si haki), ila tunasahau kuangalia chanzo cha tatizo.

Ni wanaume wangapi humu wapo radhi kusamehe wake zao waliochepuka (though mnajitumumua hamuwezi ila mnasamehe sana tu teh), let alone kulea mtoto wa mkeo aliyempata akiwa mchepukoni? Kama mna roho nzuri hivyo, nini kinawashinda kuwalea hao watoto? Mambo yenu ya kujijaza ujinga eti ooh mwanaume lazima achepuke, sijui wanawake hata ukichepuka wanasamehe tu, ndiyo leo hii yanafanya watoto wenu wanateseka mbele ya macho yenu. Mnarahisisha sana mambo

Kumkuta mwanaume na mtoto na kuletewa mtoto alompata ndoani ni vitu viwili tofauti. Nikikukuta una mtoto nina option ya kusettle au kuondoka, lakini ukiniletea mtoto ndoani ninaweza kutamani kabisa kuondoka, ila nikawa sipo radhi kupoteza what I have invested in my marriage, so I'm forced to live with the kid.
Na wanaume wengi hamjuagi kuapologise mkimess up, sanasana ataletwa tu mtoto unaambiwa huyu pia ni mwanangu, unataka haya hautaki utajiju. Put yourself into your wife's shoes afu imagine unamuumiza kiasi gani with no remorse.

Shida inakuja kuna wanawake wapo imara kihisia, na wengine hawapo imara. Kama mkeo hayupo imara kihisia, usithubutu kumletea watoto wako. Majeraha yake, uchungu na hasira zake zote zitaishiaga kwa mwanao. Na ubaya zaidi wanaume wachache mnashughulika na malezi ya watoto wenu, so vinavyoendelea na mwanao hata huvijui, unaendelea na koloni jipya kuwakilisha nature. Sielewagi hiki kitu ada anatoa baba, ila mtoto wa nje anasoma kayumba, wa ndani wanasoma private, kwamba baba haoni tofauti au ni vipi? .

Uchungu wote wa mke unaishia kwa mtoto wako, jiulize mtoto ana kosa gani. Sasa tuache ubinafsi, tusijiwazie tu starehe zetu, tuwazage na outcomes. Wewe usivyo radhi kulea mtoto wa mkeo, hata yeye pia hayupo radhi kulea mwanao. Starehe zetu tunazoziendekeza victim mkuu ni mtoto atakayepatikana. Na usaliti haufutiki kirahisi, unaachaga doa kubwa sana. Huyo mama hayupo imara kihisia, siku akikubali kusamehe kabisa, mtoto ataishi kwa amani sana. Wewe kama mume unaplay part gani kumake sure mkeo ame-heal majeraha yake, na je are you available kwa mwanao ujue anaishije hapo, au ndo upo tu around? Endeleeni kujiendekeza
Katika ubora wako
Umeeleza ukweli kabisa. Wanaume tunajiona tupo sawa pale tunapozaa nje ila hatujui tu maumivu kiasi gani tunayosababisa kwa mke hayo maumivu apatayo ndo yanaishia kwa huyo mtoto asiye na hatia.
 
MUNGU nisaidie itokee nimeolewa niletewe mtoto mkubwa kwa mwanangu au mdogo kwa wanangu nitamlea kama watoto wengine sitamnyanyasa ili mradi baba atimize wajibu wake kama baba na kama mume hayo mengine majaliwa
 
asante kwa kukazia... yapo mapungufu pande zote... changamoto za ndoa kwa sasa ni nyingi sana
 
Hii story imenikumbusha best wangu. Alizaliwa katika mazingira hayo hayo ya Samson. Wakati huo fungi wake alikuwa chuo cha ualimu. Alimpa mimba mama mjane akiwa field.
Na mtoto aliezaliwa alikuwa bright kama Samson.....

Nimetokea kumpenda sana Samson...
 
M

Hakuwa that much gifted academically but she had a strong personality. She gave me a moral support in boarding school. Ninakumbuka tukifunga shule step mother anampa dada wa kazi likizo yeye anakuwa house girl. Hakuwahi kumuonyesha yule mama kuwa hapendi lakini wadogo zake wakikuwa wanai feel ile hali, sikungine walimwambia a fake tumbo la kuhara ili apumzike.
 
Eeh kwa kweli usilopenda kufanyiwa, usimfanyie na mwenzio period. Hakuna mtu mwenye immune ya maumivu.
Sasa hata kama hupendi, chuki kwa mtoto inakujaje kama si roho mbaya,mtoto kosa lake lipi?!! Au si bora chuki hio iwe kwa baba ake?!!.
 
Mke hayupo sawa/imara kihisia, mumewe anampenda ila ndo hivyo kamuumiza, most of times hawezi kumuumiza mumewe. Hasira za mumewe zitaishia kwa mtoto ambaye ni outcome ya usaliti wa mume. Asingekuwepo huyo mtoto, angepatikana tu victim mwingine
 
Back
Top Bottom