Mwanaume ukipendwa pendeka

Sina la kusema bali wanaume woteee natamani wasome hapa
 
Hapo kwenye simu mnazingua tu, mtu unamwambia kabisa muda huu na huu niko au nitakuwa bize, bado unakuta anapiga tu simu, ukipokea anasema nimekumiss sina jipya, huku ni kupotezeana muda, True love lazima kumisiana na mikausho uwepo, sio 24 hrs mnaongea tu au kuchat, ni lazima ipite walau siku 1 kimyaaa... Labda uwe mke kabisa.

Kila kitu ni kizuri kikifanywa kwa wakati unaostahili
 
Njoo utapendwa mpaka shetani some wivu..!

Nakama hujazoea mapenzi makubwa hutayambia..! SERIOUS wahi makutano junction.
 
Hata wanawake wapo hivyo hivyo so tusalaumiane
 
Mkuu umenena vyema kabisaa na naungana na maneno yako usemayo maana kila jambo lina muda na wakati pia,hivyo tuheshimu muda wa kazi na muda wa mapenzi siyo kila muda ni kuchati tu nakupigiana simu hii inawezakupelekea kufukuzwa/kuharibu kazi
 
Asante nimekuelewa,Mungu akujalie kwa ulichokisema
 
Ukiumizwa wew mwanamke unaona umeonewa lakini mapenzi ya usaliti yapo pande zote hakuna cha mwanaume wala mwanamke
 
Maana mwanamke akishagundua anajipendekeza kukupenda wewe haumjali siku akifanya maamuzi kutoka ndani moyo utasahau hata ulikutana nae wapi, ujumbe huu umenikuna haswaaa
 
Haaaa!, walio wengi wako tu kwa ajili ya kuumiza wanawake. Ushauri tuu, ni kua hakuna haja ya kubembeleza janaume aina hii. Ukishastuka tuu kua huko hvyo fasta tupa kuleee!, endea na mambo yk.
 


Usiwe na hofu, jaribu kunipenda uone jinsi nitakavyokupenda.
 
Umeleweka muungwna......nawza kuwa nakutxt na kukpgia cm 24 hrs lkn kwa mtima haupo hta chembe!!!
 
na mwanamke usipende visivyo vyako. maana siku hizi hamuishi kuibiana mabwana.
 
Pole kwa masahibu best! Uambie moyo wako usukume damu hayo mengine uachane nayo!
 
Achana na huyo f.ala, ana mtu mwingine anayemzuzua. Fanya yako, usimpe attention kabisa, inawezekana anakuchukulia kama side chick
 
Pole
Kuna baadhi sikio la kufa usipoteze muda dear fanya yako ingawa mwanzo inakuwa ngumu ila utazoea mdogo mdogo tu usiforce mapenzi
 
kamuombe msamaha alafu mwambie mrudiane ili usiendelee kula chamoto nachabaridi
 
kamuombe msamaha alafu mwambie mrudiane ili usiendelee kula chamoto nachabaridi
mmmh mkuu hapo ni kuomba msamaha bac maana ukisema mrudiane ndo atazid kukukomesha maana hawez tena kukuheshimu na kukupenda kama zaman so tumeishia kusameheana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…