Mwanaume ukipendwa pendeka

Kama inanigusa hivi...lakini na nyie kupenda kwenu mmezidi bhana, kama luba! hah hah anyway nitajirekebisha basi
 
Hapo kwenye NEVER COME TWICE, zamani siilikuaga ni GOLDEN CHANCE....

Skuizi imebadilika na kua TRUE LOVE.....
 
Haya mapnz hyna formula bhna.....ila ahsante kwa ushaur
 
Mambo ya kugandana munayataka wenyewe. Kula uroda jisafishe, tafuta hela. Siku ukiwa na kiu kamata/jikamtishe kwamwingine mgongane kisha achaneni. Msigandane. Jamani mbona K na dyudyu zimejaa tele kwann mnafugana?
 
hilo dongo mbona kama ni lakwangu hiv..., asee wanaume wenzangu usiombe ukauchezea moyo wa mwanamke. Laana yake haiishi leo wala kesho, mm bado naendelea kula chamoto mpaka nishazoea sasa...
 
lakini inapaswa umuelimishe ili ujiridhishe kwamba huenda ni mshamba wa mapenzi ama ni dharau ya makusudi, usifanye haraka kufunga mlango wako ambao huwa haufunguki mara mbili tofauti ni sisi wanaume, binti wa kirombo!
 
Me nashukuru sijawahi kupendwa na mtu..kwa hiyo kwenye hiyo dhambi me nimepona.
 
Hayo maneno yako ya leo yamesaidia nini katika kujenga Tanzania ya viwanda?
 
Pole sana bibie kwa yanayokukuta,wanaume tunaojua maana ya mapenzi mubashara tupo ila tunakutana na vimeo pia, njoo upate tulizo la moyo mamaa usiendelee kulia kwa mtu asiekujali machozi yako! Just p.m yako moja tu itabadilisha mtazamo wako wote juu ya mapenzi. Hutojuta! binti wa kirombo
 
Hayo maneno yako ya leo yamesaidia nini katika kujenga Tanzania ya viwanda?
Hivi ww unawaza viwanda hujui hili jukwaa sio la uchumi wala ujasiriamali?, vitu vingine unasababisha kujishushia tu kama unataka anzisha jukwaa lako la Tanzania ya viwanda sio kuchafua jukwaa letu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…