Kumpenda mtu si jambo la mtu kuamua ni kitu kinachotokea naturalHabari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.
Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?
Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.
Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.
Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.
Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.
Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.
Ni maneno yangu kwa siku ya leo
Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”
Mbn na nyie mpo hivi hivi....aseee
Nataka kuja kwakoFursa acha kuuliza maswali we nenda tu pm...huyo anampa stelles
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana kwel bhana utafutaji wa pesa ndio unastress zaid.uliambiwa tanzania tunaongoza kwa kutokuwa na furaha hukuelewa.
kwenye kutafuta hela ndo kunastress zaidi.
Pana jamNataka kuja kwako
Unatoa jam usikilize sera zangu mremboPana jam
Mi ukinfanyia hayo, kwako nimefika!Ukifanya jitihada zote hzo ukaona bado anakudharau we chapa lapa tu mapemaa kabla maumivu hayajakomaa
Kaaaaaaaaz kwel kwelUkifanya jitihada zote hzo ukaona bado anakudharau we chapa lapa tu mapemaa kabla maumivu hayajakomaa
Is this love by Bob marleyHabari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.
Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?
Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.
Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.
Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.
Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.
Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.
Ni maneno yangu kwa siku ya leo
Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”
Kazi tena bob12 si ndo hvo auKaaaaaaaaz kwel kwel
Ata kama hujanipenda?Mi ukinfanyia hayo, kwako nimefika!
binti wa kirombo umeandika mambo ambayo ninadhani umekutana nayo maana ingekuwa ushauri tu ungeshauri pande zote mbili, (kama ni hivyo pole sana).Habari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.
Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?
Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.
Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.
Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.
Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.
Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.
Ni maneno yangu kwa siku ya leo
Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”
Sio kwa mahaba MUBASHARA hayo. Lazima nikupende!Ata kama hujanipenda?
Agizo la asili la mwanaume juu ya mke wakeKazi tena bob12 si ndo hvo au