Mwanaume ukipatikana utachukua hatua gani

Mwanaume ukipatikana utachukua hatua gani

Wanaume tunajua mnachepuka labda haliepukiki kama mnavyodai ila tunawaomba muwawekee mipaka hao michepuko.Wanatakiwa waheshimu wake zenu,akijua uko home asikutext wala kupiga.
Ukiruhusu hilo ina maana umemchoka mkeo kiasi cha kumuonyesha wazi na hujali matokeo ya kuchepuka kwako.
 
Mbona jinsia yako ina utata?
 
Tema mate chini mdogo wangu hujayajua ya dunia bado.

Tema mate chini mara tatu uondoe hii nadhiri
Kwamba ni kitu kibaya nimesema mzee? Kwani ni jambo ambalo haliwezekani?

Badala ungeniambia niombe Mungu anisaidie ili niweze kuishi hiyo nadhiri wewe unaniambia niteme mate chini kana kwamba nimesema kitu ambacho ni kibaya.

Hebu acha mambo yako jombaa. [emoji21]
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni kama ajali. Saa yoyote hutokea ghafla kama chafya
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni kama ajali. Saa yoyote hutokea ghafla kama chafya
Hayo ni mawazo yako tu. Hakuna anaechepuka bila kutaka. Na sio kila mtu anachepuka kwahiyo usimsemee mwenzio kwasababu wewe huwezi useme wote hatuwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom