Mwanaume ukipata mwanamke mwenye mawazo kama haya" Umeula

Saikolojia ya mwanamke inategemea anavyoongozwa na mwanaume, unaweza kubadili tabia zake baada ya kuuteka moyo na akili yake.
 
Saikolojia ya mwanamke inategemea anavyoongozwa na mwanaume, unaweza kubadili tabia zake baada ya kuuteka moyo na akili yake.
Wengi huamini hivo kua naweza mbadilisha lkn mwisho wa siku wanajuta" kuna vitu vitachange lkn sio vyote.
Kama kuna wengne huamini akishamtia mimba msichana kamaliza hana ujanja tena..
Ase sio hawa wasikuhiz
 
Kusema ule ukweli...jambo la kwanza ni hofu ya Mungu kwa huyo mwanaume/mwanamke ila wapo wenye hofu ya Mungu but later on they change so badly. Hili jambo mara nyingi linategemea UAMINIFU mtu tangu wameanza chuma na mwenzake pia kadiri UAMINIFU unavyozidi na bond between the two huwa kubwa zaidi na Mungu akiwa mbele yao katika kila jambo. MUNGU WETU HUPENDEZWA NA UAMINFU KATIKA KILA JAMBO HATA LIWE DOGO KIASI GANI.
 
Ebu ngoja nitafute pesa mie, kuliko kusubiria aibu na fedheha kwa wadada walio rithi pesa kutoka kwenye familia zao
 
Wengi huamini hivo kua naweza mbadilisha lkn mwisho wa siku wanajuta" kuna vitu vitachange lkn sio vyote.
Kama kuna wengne huamini akishamtia mimba msichana kamaliza hana ujanja tena..
Ase sio hawa wasikuhiz
Sina maana kuwa kila mwanaume anaweza kumudu kuzibadili tabia za kila mwanamke, la hasha inategemea misingi ya malezi, mabadiliko yanayosababishwa na mazingira, vichocheo na makubaliano ya kitabia baina yao. Mbinu nuepesi ya kianzia ni kumuacha akuoneshe tabia halisi, anavyosababisha tabia zisizokubalika katika jamii na uwezo wa kukabiliana na changamoto hususani zinazopelekea viwango vya hisia zake kupanda au kishuka sana.
 
Nadia Buari si mtoto wa Raisi, majina tu yamefanana, pia kaolewa na msanii mwenzie Jimmy Ike. So maybe ameongea kutokana na ualisia wake. Kwa uzuri alionao maybe angekuwa ameolewa na Tajiri mkubwa Nigeria but kaamua kuolewa na msanii mwenzi mwenye maisha ya kawaida
 
Jim alimchumbia but sielewi uchumba ulipoishia, hawajaoana. Nadia ana twins ambao baba yao si Jim, na Jim ana mtoto kazaa na girlfriend wake mwingine
 
Back
Top Bottom