Mwanaume ukipata mwanamke mwenye mawazo kama haya" Umeula

Wanawake wa hivi huwezi pata kirahisi...Naomba mungu anibariki nipate mwanamke muelewa tu ambae nikimueleza jambo atatulia na kulipa uzito. Sio hawa wanaolalamika tuuu...aaargh!
 
Hahaha we've heard of so many cases za dame anachuma mali na bwanake at the end the guy anazingua...it's better mue kune almost level sawa...
sasa mwanamke huna kazi wala kitega uchumi,umechumaje mali na mwanaume hebu nieleweshe vizuri
 
Asiee.. kwa miaka ya sasa aina hiyo ya wanawake ni kidogo sana... yaan ndogo sana.
 
Back
Top Bottom