Suala la fumanizi Ni timing,Kwanza mimi hua sikubali kosa, nakana kosa mbele ya macho yako, ukileta vilio makofi yanakuhusu na nakuundia kesi hapo hapo na home sirudi nahama tu hotel simu sikupigii hapo utatia adabu vizuri
Fanya yoote lakjni usiinue mkono kumpiga mwanamke..........NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]
Wale wamatukio tunaomba tukutane kwa uzi wa huyu mwamba🚶Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Nawasilisha[emoji1431]
Umefumaniwa na mke au na mwenye mke , kama ni mke wako Sawa , kama ni mwenye mke kubaki umesimama kama mlingoti ni ufalaWakuu,
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]
Binafs sijawahi tembea na MKE wa mtuUmefumaniwa na mke au na mwenye mke , kama ni mke wako Sawa , kama ni mwenye mke kubaki umesimama kama mlingoti ni ufala
Viuno viwe na taa,maana ake nn mkuu[emoji1]Mfumo wa kiafrica ni mfumo wa polygamy na ndio maana waarabu nao wame adopt mfumo huo huo.
Kwa hiyo hakuna aibu kwa mwanaume kukutwa na mwanamke mwingine ikiwa huyo mwanamke sio mke wa mtu mwingine.
Ila kulingana na dini yetu ya kikristo... plz and so please... maandiko yanasema hivi 'viuno vyenu na viwe vimefungwa na taa zenu ziwe zinawaka'...
View attachment 2602188
Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Kila Mara kwny vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaid:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.
Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpk anakufumania uyo anakupenda sana na hayuko tayar kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.
Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa uyo Mchepuko wako.
Unachotakiwa KUFANYA Ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kias ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.
NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.