Kuanzisha thread kama hii ni umama tena ulokithiriMwanaume kutega alarm huo ni umama, Mwanaume ni kutega bomu likilipuka na wewe unaamka.
Ebu taja na wewe umama ambao mwanaume hawatakiwi kuufanya
`kabisa mkuu tena umama wa kiwango cha fryoverMwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama




Mwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama
Mwanaume ukinyimwa papuchi na mkeo then unakuja jf kuomba ushauri ni Umama pia



Haahaa.. Wamefikia mpka hatua ya kusema mwanaume kuvta pumzi ni UMAMA.. Hubana pumz mpka kihamawanaume tunatabu