Kitu kama hizo huwa napata ukichaa flani mkichwa nimewahi ifuata moja Nairobi tukaenda Mombasa dah we acha tu mpwa.
Mpwa naona hiyo cheni apo kiuononi imekuzingua pia lol....."mnazi haunyunyiziwi dawa" lakini
milima ya kwetu na Edd Shegy
Nyumba Kubwa unanifanya turudi kwenye swali..kupenda ndo kukoje????
chukulia mfano wa Asha Dii wa wanaokimbilia kuoa walimu wakiamini
they make 'better wives' halafu wanakuwa na vimada wanaowasuuza roho zao....
wote sio 'wanaume' ???????
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....
baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...
na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima
kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....
sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....
1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....
2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'
sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????
yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa
ingawa jamii inafurahia....?????????
mwanaume ni yule anayeoa mke anayempenda, na akahakikisha kamtuliza hata kama alikuwa kicheche, hajasoma akamsomesha, na wakajenga wote familia imara na bora; ni yule anayejali future na kuchukulia past kama challenge ya maisha, na kujifunza kutokana na makosa yake na ya mwenzie.
Na atajuaje kuwa ana power ya kumbadili mtu tabia? Na atajuaje kuwa huyo mwanamke ana potentials za kuwa Changed?? What if tabia itagoma kubadilika? Avunje ndoa ya kanisani?
over ambitious?
Seeing is believing, believing in trusting, trusting is loving. Kama ipo ipo tu.
Mwanaume ni yule anayeoa ampendaye, sio anayependwa na watu.
mwanaume ni yule anayeoa mke anayempenda, na akahakikisha kamtuliza hata kama alikuwa kicheche, hajasoma akamsomesha, na wakajenga wote familia imara na bora; ni yule anayejali future na kuchukulia past kama challenge ya maisha, na kujifunza kutokana na makosa yake na ya mwenzie.
Wanaume si kuwa wanawapenda vimada naomba ni ku correct; wanapenda wake zao huko nje wanapenda sex. Kama wangekuwa wanawapenda vimada wasingekuwa wanawabadili kama nguo!
Nyumba kubwa hapa unaanza mjadala upya....
pointi ilikuwa hivi,kama wamefanya the right choice why wabadilishe vimada?
kubadilisha vimada sometimes ni sababu ya kutoridhika home?????
Siyo kuridhika au wrong choice hulka ya mwanaume ni cheater ingawa nakubali si wote. Wale wasiocheat wana fight kweli kweli hiyo nature.
Kwa hiyo regardless umeoa love of your life or not haina uhusiano wa decision ya ku cheat. Maisha ya ndoa kwa wanaume wengi yanawafanya watamani kuonja nje; ila si kutafuta love bali ni different taste ya sex. Ambayo though watu husema nyama ni ile ile bado wengi wanapenda kuonja nje (labda udadisi).
Na hapo kwenye bold naona na wewe umekubali. Kutoridhika home na nini? Mapenzi au sex??? Sex; ndio maana wengine (wajanja) wanaamua kupiga tu kwa sex workers kwani hawahitaji strings since they already have love of their lives.
ni kama una suggest better a sex worker kuliko kimada...are you?????/lol
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....
baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...
na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima
kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....
sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....
1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....
2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'
sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????
yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa
ingawa jamii inafurahia....?????????
Kama kungekuwa hakuna maradhi; I would be less angry if my hubby ata fool around na sex worker kuliko co-worker.
Tatizo la the so called vimada wanaganda
ha haaaaaa i know your type.......wewe ni wale wanawake ambao akimfumania mume na mwanamke mzuri kuliko
una fight na ndoa yako,but ukikuta yuko na msichana mbovu....'mume atajuta' lol
Umeona eeh